Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

hahahahahaha
hahahahaha
hahahaha
 
Haa😀😁
Yaliyomo Yamo.
 

Hawa ndiyo wanakuja kuwaua Dada zetu baadae.

Mwanamke ukimfumania unapiga chini unavuta chombo kingine. Shusha tanga pandisha tanga safari iendelee.
 
Napigana vizuri tu,huwezi nikulia manzi angu asee

nisikupe hata ngumi 1 tu namimi kupunguza machungu
 
Huyu jamaa alikuwa njema mno kichwani na muonekano mzuri sana.sema ndio hivyo .. kina yuda bado wanaishi...akamsaliti...mwenzie..vibaya....
Kuna ngoma moja ya kaka ake Prof j , anayeishi ughaibuni (MR teacher.) Kaimba kuhusu Thomas Sankara kamuelezea vizuri sana
 
Swala sio utamu bali ni uwekezaji unatia chachu ya hasira
 
Miaka ya nyuma sana watu wanachuo walikua wanasomeshana, unakuta mwanaume kwao wapo vizuri anamgharamia mwenza wake lakini inakua tofauti kabisa binti anakua na jamaa mwingine
 
Kwanza mimi cjawahi kupenda mwanamke tofauti na mama yangu, wengine nawatamani tuu
 
Hata kwa mke wangu wa ndoa siwez fanya ujinga huo wa kishenzi.Nijitie hasara kisa mtu mzima wenzangu ambae ana free will kuamua anachotaka??

No way..God forbid
Tuko pamoja chief, Hiki ndicho ninachokisema, kwa nini upigane?

Hapo utakuta mwanamke wako kadanganya kamwambia mwanaume hajaolewa, ama haumtombi vizuri..hapo vagi ya nini?

Uue upate shida yeye agongwe kwa Uhuru? Wanawake bado hawachaisha na kukuacha bila kupigana sio kuonekana wewe ni zoba hapa ndio wanaume tunakosea. Badala yake tunajizolea matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…