Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Ndugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug

Mimi nilimsikia mpaka anasema nimefanya kosa gani mnanichinja na hali nina watoto
 
Back
Top Bottom