Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Kuepuka kula red meat ni kitu kizuri kiafya.Ila kuepuka kula nyama kwa sababu ya kumuonea huruma ngombe huu ni ugonjwa wa akili
 
Upo smart kichwani. Ungezaliwa huko mbele tayari tungekuwa na mwanasayansi mkombozi wa Ng'ombe, Mbuzi na kitimoto.
Hehe wewe ungezaliwa kule mbele ungekuwa surgeon wa kuwatengeneza watu chura ziwe kubwa
 
Hehe wewe ungezaliwa kule mbele ungekuwa surgeon wa kuwatengeneza watu chura ziwe kubwa
AAQ9y1.jpg
 
Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Ungana na watu wa kutetea haki za wanyama, wale hawataki mnyama apate mateso ya aina yoyote ile ikiwemo kuchinjwa......wanataka nyama zianze kuoteshwa maabara..
 
Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Kwani mimea ukiikata hailii? Au kwa sababu hauoni machozi yake?
 
Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Umeshawahi kuona magaidi wanavyochinja raia
 
Hao wachinjaji sio professional kabisa ktk uchinjaji . Uchinjaji upo wa aina mbili; Slaughter by stunning and Slaughter without stunning, hizo ni Major types of Slaughter,japo kuna aina nyingine nyingi.Lkn njia nzuri ya kuchinja ni ile ya Slaughter by stunning, stunning ni kumzimisha mnyama ili asione jinsi unavyomchinja, faida ya kufanya hivyo ni kumsaidia mnyama kufa bila mateso makali,aidha damu huchuruzika vizuri na hivyo kupata nyama iliyo bora.
Kuna uhusiano gani Kati ya ubora wa nyama na damu mkuu
 
Alaf unakuta huyu nae ni mtoto wa kiume kwa staili hii kwanini asivae hereni na kusuka na kuona Ni kitu Cha kawaida tu hata kuolewa pia ataona ni jambo dogo
Kisa kumuonea huruma mtongozaji
 
Itabidi tu uache kula nyama zote,maana hakuna njia nyepesi ya kutoa uhai wa mnyama kwa jili ya kitoweo,hata kule porini nako mambo ni hayohayo wanyama wanakamtana katika hali ya kuumiza sana.Hiyo yako naona ni cha mtoto,kwa wale wa kitimoto niliwahi kuambiwa kuwa anapigwa kwanza nyundo ya kichwa akidondoka ndio anachinjwa...
 
Meta mada ni mtoto wa mama wa kudeka ukimwajiri polisi akikutana na kibaka lazima amkimbie kibaka kuogopa makofi ya kibaka
 
Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Sasa ulidhani unapokula nyama yake, yeye bwana au bibi ng'ombe anakuwa ameenda wapi!?
 
Labda nikuulize swali. Je uliona ng'ombe anachinjwa au uliona anakatwa kichwa? Yule anayechinjwa hufanyiwa hivyo katika mazingira tofauti na yule akatwae kichwa. Mara nyingi akatwae kichwa, jambia, panga au shoka linatumika. Katika kuchinja, mchinjaji hutumia kisu kikali kufanya kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom