Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

bata2.png

Hujui tu kuku na bata wanachokutana nacho, acha kula na mayai...
 
Tafuta sababu nyingine.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 umenena kweli. Hata ardhi ukiikanyaga inaumia mbali na mambo mengi unayofanya kama kuchafua mazingira na kula mimea ukiogopa nyama.
 
Ndugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Mi niliona vingunguti daaah
 
Ndugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Hao wachinjaji sio professional kabisa ktk uchinjaji . Uchinjaji upo wa aina mbili; Slaughter by stunning and Slaughter without stunning, hizo ni Major types of Slaughter,japo kuna aina nyingine nyingi.Lkn njia nzuri ya kuchinja ni ile ya Slaughter by stunning, stunning ni kumzimisha mnyama ili asione jinsi unavyomchinja, faida ya kufanya hivyo ni kumsaidia mnyama kufa bila mateso makali,aidha damu huchuruzika vizuri na hivyo kupata nyama iliyo bora.
 
Back
Top Bottom