Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

Hujawahi kuona wamasai wanachinja huku wanakinga damu na kunywa?
 
Wanyama ni haki yetu tunapaswa kuwamiliki na kuwachinja vile Mungu ameelekeza.
 
Ng'ombe huchinjwa kistaarabu machinjio ya kisasa,kwanza hupigwa shoti ya umeme na kiparalize the huchinjwa bila kutapatapa
 
Mi naona mkuu ungeacha kula vyote maana hata samaki akivulia anateseka kwenye mtumbwi.
 
Ng'ombe huchinjwa kistaarabu machinjio ya kisasa,kwanza hupigwa shoti ya umeme na kiparalize the huchinjwa bila kutapatapa
Wewe umeahawahi kupigwa shot ya umeme ukaona inavyouma? Unadhani kupigwa shot ya umeme ni sawa na kudondokewa na unyoya au Sufi?
 
Ukatili haumfanyi mtu kwa 'mwanaume zaidi' au 'jasiri', zaidi zaidi ni kipimo cha ujinga na kukosa ustaarabu / ushenzi.

Nimechinja sana kuku nikiwa kijana, yaani nyumbani ndiyo ilikuwa kazi yangu hiyo. Lakini kuna siku nikiwa na kisu mkononi, nimemkany'aga kuku miguu na mabawa, kulikuwa na kuku wengine wawili watatu wamesimama pembeni wanaanglia kwa mshangao nilichotaka kufanya, nilijikuta tu namwachia yule kuku.

Nilitafakari sana ubinafsi wetu binadamu. Kuku wale tuliowafuga walikuwa wamenizoea sana, yaani pengine walikuwa wananiona kama mungu flani hivi kwao, alafu mwisho wa siku naishia kuwachinja kikatili kabisa.

Kurudi ndani nikaulizwa kuku yuko wapi, nikawaaambia kaniponyoka kakimbia, tuangalie utaratibu mwingine. Watu walinuna kwelikweli lakini maza akasema basi leo haikupangwa kuwa siku ya kuku, na tule mboga za majani.

Toka siku hiyo sijawahi tena kuchinja kuku.
Na wewe ndo wale walee...

Kuna mwanaume kama wewee hujamkosea wala kumtukana wala kumpigaa ila akikushika lazima akuchinjee tena kwa Panga nyuma ya shingo..
Je..?? Unalijua hiloo...???

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.

Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.

Superbug
Pole usingeenda kuangalia
 
Na wewe ndo wale walee...

Kuna mwanaume kama wewee hujamkosea wala kumtukana wala kumpigaa ila akikushika lazima akuchinjee tena kwa Panga nyuma ya shingo..
Je..?? Unalijua hiloo...???

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nawafahami vyema, na kumtwanga risasi ya kichwa mtu kama huyo wala sioni shida. Tena nikirudi nyumbani nalala kwa amani kabisa.
 
kiti moto vipi.......wale huwa tunawapa Kvaant walale....
 
Alaf unakuta huyu nae ni mtoto wa kiume kwa staili hii kwanini asivae hereni na kusuka na kuona Ni kitu Cha kawaida tu hata kuolewa pia ataona ni jambo dogo
Kisa kumuonea huruma mtongozaji
Aisee,hii comment
 
Pole sana mkuu. Kula majini tu sasa au wanyama waliokufa wenyewe kwa uzee, ila baada ya muda utasahau tu
 
Back
Top Bottom