Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Kwa miaka yote hiyo mkiwa hamuishi pamoja hukujua hizo tabia mkuu??

Hata kama alikua anafeke ila watu wenye mdomo chiriku huwa hawajifichi, utamjua kwa maneno mengi hata afiche vipi.

Mwanamke wa kizazi hiki hamnaga anaetii do and dont. Ni ubahatike tu kupata mnaeendana.
 
Ndio ninachokiona, wanaume hawaitaji kumtongoza mwanamke Ili amtumie, kwa mwanamke mwenye akili itachukua muda kidogo au kufail kabisa, Lakini ukishaona Mwanamke talkative Hapo kuliwa ni rahisi tu.
Kama kumsukuma mlevi vile, maana inawawiaga ugumu mabaria kwa manzi asiejibu mapigo. Ila ile unamuuliza A anajibu BCD, aah huyochap tu analiwa
 
Dah Hannah umenichekesha sana ila pole sana .
 
Lakini sasa ndugu hukujua haya toka kitambo??? Maana umesema ni mtu wako wa muda mrefu?! Harafu hili nikujulishe tu hua ni tabia ndo alivyo kumbadilisha sio jambo dogo ati kuna watu wanapenda kujiweka wazi mpaka kero.
 
Mkuu shida ipo kwako, hupend mkeo awe anaongea na jiran zake bas ungepanga sehem yenye kumzuia kukutana na watu,

haiwezekan atoke nje kufua ama kuosha vyombo wenzie wamsemeshe akae kimya ,wanazam za usaf lazima washrikiane,yan ukarib lazima,...una gubu punguza.

Nilipanga sehem nikawa mim na ndan hee nilipozoea mazingira,nikapata maneno njee kumbe unaongeaga mana walishaanza kusema mpangaj mpya anaringaa huyo anajisikia
 
 
Hapo tulitakiwa pia tusikilize upande wa mwanamke.
 
Hayo mambo si kilema. Ukidhamiria hakika waweza badilika. Mtu anajifunza kingereza ili asafiri na anaelewa anafaulu sembus kuacha kubwabwaja kama mlevi wa gongo??? Nasema kaeni tayari kwa lolote.

Kipenga kikilia mbwa watapanda daraja. [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…