Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Ataliwa soon na mabaharia mdhibi

ti mapema
Ndio ninachokiona, wanaume hawaitaji kumtongoza mwanamke Ili amtumie, kwa mwanamke mwenye akili itachukua muda kidogo au kufail kabisa, Lakini ukishaona Mwanamke talkative Hapo kuliwa ni rahisi tu.
 
Una principles kama yangu mimi na majirani ni salamu tu amna neno zaidi hii kitu ime fanya wani ogope flani hivi hawaji waji tu kuni gongea sijui Bill ya maji sijui umeme wana kuja kwa step kuna mda hadi land lord mwenyewe ndo ana nicheki kulipia....
 
Sawa, shukrani
 
Sawa, shukrani
 
Huna mke hapo kimbia mapema.

Kwani nawewe umekosa wa kuzaa nae ukalea mtoto.
 
Huyo mpe onyo la mwisho. Akiahidi kubadilika hameni hapo mkaanze upya sehemu nyingine.

Halafu mwambie kama ni lazima aongee mambo yake kwa watu atlist aongee mambo yatakayofanya aonekane classic. Ajidai hata hajui miti shamba ya kutibu UTI.
Ukishajiona Wewe ni anti social kama Mungu anekujaria Kujenga basi nenda kajenge kwenye Mimi mipya, kwa Dar mfano Buyuni, Kigamboni, Kerege huko ndio kiboko ya watu waliozoea umbea umbea.
 
Hey bro,pole sana maana matarajio yako yamekwenda ndivyo sivyo but kuishi na mtu inahitaji moyo sanaa..it takes days,weeks,months or even years kwa nyinyi wawili kuwa kitu kimoja.Mahusiano sio marahisi kama watu wanavyochukulia mahusiano yanahitaji moyo tena moyo mgumu.Maana kila mtu ametokea na kukulia mazingira tofauti .Hii tabia ya kuzoeana na kila mtu kweli sio nzuri maana sio watu wote ni wema but pia kuna muda kwenye maisha hupaswi kuwa peke yako peke yako hata ikiwa unahofu maana najua unaogopa mambo yasije yakenda ndivyo sivyo ila ndio maisha na tunaishi nao pia..Mfungulie hata biashara au mpeleke akajifunze chochote ili na yeye awe busy maana kukaa nyumbani pia kunaleta mazoea na upweke pia.Maneno ya kutupiana tupiana kwa wapenzi ni kawaida ila kama umeona mwenzio kakujibu jibu ambalo hujapendezwa nalo kabla ya kuelezea watu kwa nini usimwambie ili ajue amekukosea ili ajirekebishe kuliko kuumia…Kuishi peke yako ndio kuna uhuru ila pia kuishi na mtu kuna faraja yake.
 
Masai dada: upo sahihi[emoji1666]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah nimecheka kifala yaan
Mwamba ndo kwanza mwezi mmoja anakwambia kichwa kinawaka moto akikaa miezi sita huyu siatavaa chupi kichwani famasiala nini [emoji23][emoji23]
ndoa na iheshime na watu wote
 
Mwanamke unachopaswa kujuwa mwanaume ni kama mtoto kwako umlee yani.
ndo nnachomaanisha, yani ile kitu ya kusema mkae pamoja mtuaje kabla hamjaoana ni kwa mantiki ya ww mwanamke kujua una deal na mtu wa namna gani na uishi nae vipi...
Pia uwe na kumbukumbu/Heshima/kujishusha na mipango la sivyo hamtoboi usitake mtu aseme mara2 jambo asilopenda
 
Asante sana, binafsi sipendi aondoke Sema ni stress za hapa na pale maana ni jambo jipya hata akili Inapambana pi ku-cope, nimeona nichukue huo ushauri wako wa kumtafutia shughuli ya kufanya, nitampa hiyo kazi Mwenyewe ya kufanya research kwa mazingira tuliyopo anadhani atafanya biashara gani? Itanisaidia pia kujua vingi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…