Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #61
Asante sana, nimekuelewa kuwa na wanawake wa nje Sina kabisa maana hata simu yangu yupo huru kupokea,Tatizo lako unataka uonyeshe wewe ni mwanaume bora..
We endelea naambo yako, rudi usiku hadi akutafute, ondoa asibuhi na mapema bila hata ratiba, usiwe mtu wa kueleweka.. acha nafasi ya yeye kukuwaza na kujihoji pengine hakuridhishi..
Kuoa haina maana sasa mtaishi maisha mapya, qe endelea na maisha yako ya zamani.. jambo moja tuu, usiwe na wanawake wengi.
Nakwamba ukifanya haja, atakuheshimu.. ila kama upo kwenye ndoa na bado unamkimbiza .. utafeli