Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Tatizo lako unataka uonyeshe wewe ni mwanaume bora..

We endelea naambo yako, rudi usiku hadi akutafute, ondoa asibuhi na mapema bila hata ratiba, usiwe mtu wa kueleweka.. acha nafasi ya yeye kukuwaza na kujihoji pengine hakuridhishi..


Kuoa haina maana sasa mtaishi maisha mapya, qe endelea na maisha yako ya zamani.. jambo moja tuu, usiwe na wanawake wengi.

Nakwamba ukifanya haja, atakuheshimu.. ila kama upo kwenye ndoa na bado unamkimbiza .. utafeli
Asante sana, nimekuelewa kuwa na wanawake wa nje Sina kabisa maana hata simu yangu yupo huru kupokea,
 
Hayo ni mambo ya kawaida mkuu.

Binafsi ni mkimya mpaka nimzoee mtu sana so hiyo part ya kusocialize nimemuachia huyu mama hapa.

Kusocialize ni muhimu sana katika jamii hizi zetu za kiafrika else utakosana na hao wananchi bila sababu.

Hata kama hupendi kuwa na watu lazimisha tu kucheka nao na kupiga stori mbili tatu mradi ukae nao kwa amani.

Mimi Huwa kwenye sikukuu nachinja nagawa nyama kwa majirani we are in good terms.

Na huyu mama namuachia hicho kitengo cha kuwa karibu na jamii napiga mishe nyingine.
 
Huna adabu.
Eti ukinunua nyama, nyama kitu gani. Mpe mkeo hela ya mwezi mzima yeye ndio aamue mle nyama au tembele.
Acha uchoyo dogo. Wewe ndio mchoyo mpaka unaingilia Mambo ya jikoni.
Jikoni Ni sehemu ya kina mama kujidai. Usiingilie Mambo ya huko kabisa.
 
Hili ndilo jambo linalonisumbua kwa Sasa,nilipohamia mkoa huu kuanza kazi ndipo nilipokutana na huyu mwanamke.tulidumu ktk mahusiano kama mwaka na nusu Kila Mmoja akaanzisha maisha yake mengine. Baada ya mwaka Mmoja kupita akaanza kunitafuta kwenye simu mara kwa mara,aliomba tuktane Kuna jambo tuongee nikakubali....

Tulipokutana akaniambia kwa Sasa Hana kazi na Hana makazi hivyo anaomba hifadhi kwa muda wkt anajitafuta maana alipokua anaishi vtu vyake vimefungiwa kwa kutolipa Kodi kwa muda mrefu,kwakua nilipangisha nyumba nzima nikaona sio mbaya pia nitakua napata utelezi kwa karibu kuliko navyoenda kununua dada poa..(hapo ndipo nilipojiroga)

Nilimpa masharti yangu kuwa;

1.hapa mtaa ninapoishi hakuna anaejua nafanya kazi gani na wapi hivyo sitarajii ujio wako watu wakanifahamu.
2.sina mazoea na watu hapa mtaani kwahyo sitarajii kukuta mtu/majirani unapiga nao soga hapa kwangu.ila ukitaka kupiga stori nenda kwa mwanamke mwenzako ambaye mume wake Niko nae kazini.
3.salamu na mambo ya kijamii hapa mtaani nenda ila usijichanganye nao kupitiliza,shughuli ikiisha Rudi nyumbani.
Mambo yakaenda tofauti kbs yaani tyr ameshazoeana na watu kibao mtaani na ana marafiki kibao,kiufupi anapenda sifa+ kufahamika kimbembe Kuna siku nimerudi nimelewa akawa anaropoka kwa sauti ya juu nikampiga haswa,kumekucha kaenda kwa m/kiti kua nilitaka kumuua kwa kipigo na maneno kibao kua siogopi Cha mwenyekiti Wala nani maana hakuna wakunifanya lolote na uzushi mwingi tu.mwnykt akatupatanisha tukarudi home.
Nilipomtaka afungashe virago amegoma kabisa kua nimemtumia nilivyotaka Sasa namfukuza kwahyo haendi popote.
Hapa najipanga kumuachia Kila kitu nitafute mtaa mwingne niendeleee na maisha maana siwezi kuishi nae ni kiburi,hasikii maelekezo yangu , tukigombana kdg anaeleza majirani,ni mtu wa tamaa
 
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikua ya furaha isiyo na kifani, Sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila

Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Piga chini huyo zombie
 
Hata mimi sipendi sehemu nimekaa nimeji brand kwa namna ninayotaka mimi nionekane halafu aje mtu aharibu.

Kuna sehemu nilikuwa naishi (nilihama baada ya hili tukio). Nikawa nina uhitaji wa msichana wa kazi ila akawa hajapatikana. Basi kuna cousin wangu akaja kunisaidia kidogo before aende chuo.

Aisee ndani ya siku kadhaa ameshaanika kila kitu kuhusu mimi nakwambia. Anafunguka hadi ambavyo hatakiwi kufunguka.

Na watu wanavyopenda umbea na kujua ya watu basi walimpenda kinoma yaani.

Yaani mimi naishi zangu mjini nime jibraaaaand hata kama nilikuwa nafake ila ilinipa heshima halafu kaja mtu siku mbili anafunguka kila kitu.

Nilimaimd sana alivyoondoka nikahama.

Mkuu mimi nipo upande wako kama hajirekebishi timua. Mtu wa kujitsngaza tangaza kwa watu wasiomsaidia chochote hana maana.
Mkuu, miaka ya nyuma mzee mwenye nyumba alikuja kuangalia Mpira usiku saa 1:30 Mimi Nina Dstv yeye yuko na Azam kosa alilofanya alikuja na kijana mwingine wa mtaani Hapo (Mimi simjui) nikamtimua mzee nikamwambia usiku Huu nahitaji kupumzika alafu siwezi ruhusu wageni kwangu usiku nisiowajua, hakuamini ndivyo ilivyo maana hata muda wakiwa wananisema sipo, Sina namba ya mzee mwenye nyumba Wala mtu yoyote , mtu ndani ya Mwezi ana namba za Mama mwenye nyumba, watoto wake Majirani hapa nawaza sijui nifanyaje.
 
Hayo ni mambo ya kawaida mkuu.

Binafsi ni mkimya mpaka nimzoee mtu sana so hiyo part ya kusocialize nimemuachia huyu mama hapa.

Kusocialize ni muhimu sana katika jamii hizi zetu za kiafrika else utakosana na hao wananchi bila sababu.

Hata kama hupendi kuwa na watu lazimisha tu kucheka nao na kupiga stori mbili tatu mradi ukae nao kwa amani.

Mimi Huwa kwenye sikukuu nachinja nagawa nyama kwa majirani we are in good terms.

Na huyu mama namuachia hicho kitengo cha kuwa karibu na jamii napiga mishe nyingine.
Shukrani mkuu nimekuelewa, Sema ninachokiona ni akili ya mwanamke Mwenyewe maana wengine wakianza mazoea saana ndio mwanzo wa kuangamia.
 
Jamaa ameshakula sasa amemkinai mapema hapa anatafuta tu sababu ya kuingia mitini.

Ila nawatahadharisha tu mtindo wa kuchezea mabinti za watu na kuwakimbia mkumbuke kuna kurogwa, ni vitu nimeshuhudia kwa macho yangu sikuhadithiwa.
Sanaa aisee hapo kwenye kurogwa dah Kuna jamaa alimpa mimba Binti alafu akaikataa jamaa kwao Tanga na Binti ni WA Tanga....alidisco engineering....ni smart kichwani ila majanga aliyonayo...analewa mpaka analala sokoni....wazazi WA yule Binti ni majirani wao kule Tanga...wanazungumza tu aje afate mwanae....lasivyo Bado sana hapo...
Kwa kifupi sio Kila mtu atachukulia poa habari za kuliwa na kuachwa..

Ila wengine fresh tu..
Sema jamaa kwenye stor yake hajakutana na mtu WA kuendana nae kwenye maisha....na mara nyingi unakutana na mtu yupo tofauuuti na wewe na yeye anaona sawa tu...Sasa pale ndo unaona akili inavurugika....
Kuna reality flani niliangalia jamaa katoka familia Bora kazoea yeye akitoka mihangaikoni Kuna wasichana WA kazi anavua nguo anaacha hovyo hivyo ...Sasa kaenda Kwa msichana wake kumtembelea akakaa siku kazaaa aiseeee....yule dada japo alikua ni single Maza ila alimshindwa jamaa jamaa ni anatupa tupa miboxer hivyo....
 
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikua ya furaha isiyo na kifani, Sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila

Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Nimesoma title tu nimecheka balaa
 
Huna adabu.
Eti ukinunua nyama, nyama kitu gani. Mpe mkeo hela ya mwezi mzima yeye ndio aamue mle nyama au tembele.
Acha uchoyo dogo. Wewe ndio mchoyo mpaka unaingilia Mambo ya jikoni.
Jikoni Ni sehemu ya kina mama kujidai. Usiingilie Mambo ya huko kabisa.
shukrani ilo ndio Huwa nalifanya, salary ikiingia namkatia kipande kikubwa na nilimwambia hata kama hesabu zikigoma asisite kuniambia.
 
Ni chance ndogo sana kukutana na mtuwenye ustaarabu na maisha unayoyapenda wewe mara nyingi unakutana na mtu ambae hamuendani....nafikiri Mungu ana balance tu equilibrium.
Japo Mimi nachoona ukimpenda mtu utamvumilia usipompenda hata AKIPUMUA utaona kero
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mi niliamka kwenda kwenye mazoezi asubuhi kurudi nikakuta mtu keshamaliza kupaki na mabegi tayari tayari. Nauliza kulikoni mwenzangu mbona ghafla au kuna msiba home? Kimyaaa!

Wala sikuuliza ila niliita bajaji chap ili imuwahishe Mbezi kwa Magufuli. Wiki ya tatu sasa hata sijui kama alifika salama ama la! [emoji706][emoji706][emoji706]
Doctor hii itakuwa ni chai bila Shaka.

Ngoja nimwitempwa wako Aaliyyah aje aone hii.
 
Back
Top Bottom