Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sawa BashiteMwananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa BashiteMwananchi
Wananchi wanashida huko yeye kutwa yupo MarekaniMbeya Kuna nini mkuu. Rais huyu ana akili Sana siyo yule populist wenu muuaji
sawa aunt nimekuelewaMimi siyo mnyonge, kama nauli kupanda kwako ni ishu jua siyo kwa wote. Kwangu labda ungesema petrol kupanda japo pia siyo ishu sana
Leo amekutana na baba yake na Rihanna, maskini Tanzania yangu!Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Sababu ya mfumo dume.Kwa nini mababu zetu hawakuwashirikisha wanawake kwenye vikao vya maamuzi
Huko USA ndio soko kubwa la watalii lilipo.Mpaka Leo sijaona mantiki ya kuzinduliwa filamu USA bora ingekuwa hata Serengeti au Arusha AICC .
Siyo Raisi tu ata mtu yoyote akikaa ugenini siku nyingi lazima adharaulike tu anaoneka wakawaidaRaisi wa nchi atakiwi kukaa mda mrefu ugenini atadharaulika
Mama alivyosema jipimie , nikakumbuka sekondari siku ya wali na nyama watu walikuwa wanakuja mess na vindoo vya lita 5 kujaza full hajali kuwa kuna wenzake wanaweza kukosa , sasa watu wa aina hio wakija kupata cheo Kwenye Ofisi ya umma inakuwaje ??
Bora aombe akutane na Madonna ili amuombe awa chukue watoto waki Tanzania ili awaleee ili atupunguzie watoto yatima na ombaombaBado Hajakutana Na Mama Ake LIL WAYNE
Wiki moja haijafikaSipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Huna hoja ndiyo maana unakimbilia kuniita aunt.sawa aunt nimekuelewa
Acha ujinga mkuu. Unakuwa kama JiweSawa Bashite
Ok tuseme uko sahihi, alipinga hizo ziara lakini alikuwa anaua raia wake. Je kipi ni kabaya kati ya ziara na uuaji wa raia wako kisa tu kakupinga?Nadhani watanzania wanaoishi NY kama kuna wanazi wa siasa za Tanzania wanaokutana na hao watu private watakwambia kufuru ya msafara halisi na posho zao.
Sikia tu raisi anapoondoka airport unamuona pekee yake, ila mijitu iliyotangulia mbele yake kutoka kitengo cha raisi inaweza fika ata 50.
Na kwenye hizi ziara za matukio mengine ambazo zina wizara na taasisi mbalimbali sijui fedha, biashara, afya na watu wa mbugani huko mpaka siku uone wakiwa nje ya nchi kama ujawahi kuwaona ndio utaelewa kwanini Magufuli alizipiga marufuku hizi trip.
This is very true, ndiyo maana tukajikuta tunaongozwa na mtu kama JiweYeah, kwani kafika hapo kwa kushindana na kushindanishwa? Maisha ni awkward namna hiyo kwamba mnaweza jikuta mnaongozwa na mtu wa ajabu ajabu.
Ndiyo maana bwana yule aliyetuheshimisha alisema" HAPA KAZI TU" asiyefanya kazi na asile. R.I.P JPMIt's very disturbing, hivi unaondokaje nchi yako ukitembelea nchi nyingine for days? I'll iweje...safari ya kikazi, hata kama ni hiyo tour, not more than 2days umerudi kwenye majukumu yako.
The real image of a normal Tanzanian inaonekana dhahiri hapa, tunapenda "kupumzika na kutembelea"!
Shame!
Ok tuseme uko sahihi, alipinga hizo ziara lakini alikuwa anaua raia wake. Je kipi ni kabaya kati ya ziara na uuaji wa raia wako kisa tu kakupinga?