Imetosha Sasa! Watanganyika tuanze Maandamo Ya Kudai Haki ya Tundu Lissu

Jaribu kutoa pua yako kwenda kuanzisha au kushawishi maandamano uone cha mtema kuni. Utatwangwa kama mbwa koko
Hivi hiki kichaa chako unafikiri kitakufikisha wapi wewe?
Siku Samia atakapovutwa mavumbini, ni siku hiyo hiyo utageuka na kuwa mtu tofauti na ulivyo sasa.
Natabiri hutaonekana tena ndani ya JF maisha yako yote, au utabadili jina.

Jiandae kwa hali inayokuja, Samia hana muda hapo alipo sasa.
 
Wewe nenda zako kaanze kudai haki hizo unazozisema, wala usipoteze muda kuandika hapa.

Yeye mwenyewe kasema ni Mandela wa nchongo sijui weewe unawashwa makalio kwa sababu gani?, hata miezi 12 haijatimia wakati Nelson Mandela alikaa miaka 27.

Pili hata mke na wanaye hawana taimu naye maana hawajakwenda wala Ukonga wala Mahakamani. Tuliza makalio yako
 
Amka utakunya kitandani kwa ndoto chafu. Huo ujinga hauna nafasi tena. Mnahamasisha watoto wenzenu wanauliwa, nyinyi kazi yenu kuandika upumbavu tu
 
Amka utakunya kitandani kwa ndoto chafu. Huo ujinga hauna nafasi tena. Mnahamasisha watoto wenzenu wanauliwa, nyinyi kazi yenu kuandika upumbavu tu
Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.
Huna la ziada ya hapo!
 
Anaemtumikia na kufaidika nae aanze kuandamana ,nitakuwa mitandaoni kuunga mkono
 
Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.
Huna la ziada ya hapo!
Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.
Huna la ziada ya hapo!
 
Watoto wake wapo wapi ilituungane kumpigania baba yao!!!

Watoto wa masikini ndio mtaji wake!!! Watoto wake kawaficha Marekan wanasoma !!!

Watoto wetu ndio wakapambane na mapolisi!!

yeye Lissu ni Mwanasheria M'bobezi hatatoka ndani yanini kumwada damu za masikini kwani kule si maisha yanaendelea usiku analala mchana Dona lipo la kutosha. Kwanini tufe!!!!
 
Tafuteni hela narudi tena TAFUTENI HELA narudia tena TAFUTENI HELA,
Achaneni na huo UPUMBAVU
 
Mtanganyika ndio adui namba moja wa mtanganyika,viongozi asilimia kubwa ni watanganyika ila ndio wako mstali wa mbele kuwahujumu watanganyika,inasikitisha Sana kwa kweli
 
Maandamano kwa ajili ya LISSU hapana , yeye mwenyewe ni wale wale tu tofauti CHAMA.
 
Nguruwe kama wewe unasubiri tu kuwa kitoweo cha Samia wakati akiagaaga kabla ya kuwajibishwa kwa maovu yake.
Huna la ziada ya hapo!
Nakukumbusha hali yako duni, na kwamba mwisho wa huyo anayekutegemea wewe kuwa kitoweo chake unaelekea ukingoni.
Usiyasahau hayo maneno.
 
Inasikitisha sana
 
Usiyasahau hayo maneno
 
Nakukumbusha hali yako duni, na kwamba mwisho wa huyo anayekutegemea wewe kuwa kitoweo chake unaelekea ukingoni.
Usiyasahau hayo maneno
Ni vizuri umekariri kabisa. Sasa usisahau.
Jikumbushe hayo maneno mara moja kwa wiki hadi hapo utakapokuwa kitoweo.
 
Acheni kujifunika nyuma ya mitandaoni ingieni tena front...
Msituletee amasunenkhe hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…