Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Ile ya 360 ya cloud uliyoshiriki ulifanya mock interview? Kama ndivyo mbona ulirukaruka na kujichekesha kama comedian na hakuna la maana ulilolielezea?
Yaani NW hata 360 ikamshinda? Halafu huyo anataka kujadili mambo ya kichwa Lissu?
Labda anasukia raha tuu naye kusema chochote, maana hata akuyemteua ana weweseka
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Mnamuogopa lissu eee

Embu jaribuni kupeleka hilo boga lenu hata KBC tuu maana BBC mtaaibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Hivi Lumumba kuna wanaume?
 
Shetani na ushetani haujawahi kushinda. Kwamba Lissu yuko hai ni uthibitisho. TL aongee asiongee anaeleweka
 
Back
Top Bottom