#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

Hakuna rais aliyekopa kama Magufuli ktk historia ya nchi hii.
 
The dear leader and the meastro of ccm choir assemby is on record, Ndanganyi-ass tuna kila kitu.
 
Ile Report ifanyiwe KAZI kusita sita kunaturudisha KULE KULE.

MPUNGA UINGIE hizo fedha zilipe madeni ya Wastaafu na Mifuko ya Jamii

Mmekomba kule NSSF zakwetu bila huruma
Pesa za mabeberu ni za moto. Wanakukopa halafu unanunua chanjo kwao, vifaa vya kupimia covid unanunua kwao, halafu unawarudishia mkopo na riba juu. Tena kwa kulazimishwa kupambana na corona isiyokuwepo! Watakupandikizia maradhi ya changamoto ya kupumua ili waone ukitumia mkopo wako.
 
Ile Report ifanyiwe KAZI kusita sita kunaturudisha KULE KULE.

MPUNGA UINGIE hizo fedha zilipe madeni ya Wastaafu na Mifuko ya Jamii

Mmekomba kule NSSF zakwetu bila huruma
Hivi unafikiri unapewa cash mkuu unaletewa vifaa, barakoa, sinitizer n.k. maana yake faida inabaki kwao mkuu
 
Mabeberu tuacheni!! Halafu kwa nini tunafuatilia mkopo huo?? Tusijidhalilishe!! Hizo pesa dola milioni 574 ni pesa kidogo sana!! Kwanza siyo za bure!! Ni utumwa wa aibu!! Hao waliozipata hakuna walichotuzidi!!

Kazanieni kukusanya kodi!! Watanzania milioni moja tukichanga sh milioni moja na laki tano tunaweza kupata pesa nyingi kuliko hizo. Kati ya watanzania milioni 60 hatuwezi kukosa watanzania milioni moja wenye uchungu na nchi yao na wakakubali kuchanga kiasii hicho cha pesa ili kuiokoa nchi yetu na laana ya fedheha hii!
 
Mtatuambia nini japo mnajificha nyuma ya kamati ya corona na wizaraya afya!!
 
Tanzania has never had such a DUMB leader like the immediate past one; so nicknamed the bulldozer; never!!! Never ever again; May God forbid!
 
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limethibitisha kwamba litaipatia Tanzania mkopo wa dharura wa takribani dola milioni 574, itakapokamilisha mambo muhimu ikiwemo utoaji wa takwimu kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona.

Mara ya mwisho Tanzania kutoa takwimu kuhusu maambukizi ya virusi hivyo na ugonjwa wa Covid 19 kwa ujumla ilikuwa mwezi Mei mwaka 2020.

Mwakilishi mkazi wa IMF nchini Tanzania, Jens Reinke ameiambia BBC kwamba, moja ya vigezo vya utoaji wa mkopo wa aina hiyo ni pamoja na takwimu muhimu kuhusu Covid 19 ili kujua hali halisi ya maambuziki ya ugonjwa huo ikoje kwa sasa nchini Tanzania.

"Uwepo wa takwimu ni nyenzo muhimu sana katika kukabiliana na janga hili, na zitawasilishwa kwenye bodi ya IMF kabla ya kuthibitisha, kwa hiyo kuwa na takwimu za msingi, ni kigezo cha moja kwa moja", alisema Reinke.
 
Jifunze kwanza kuandika ndio uje tujadili..inaonekana we bado ni mtoto wa shule
 
The principle is: The money given should be accounted for with the support of clear and relevant information on the cost item or center. So, IMF is right in demanding the relevant information.
 
Baada ya kuzinguliwa na lMF,mama kaamua kuchenji gia!
 
Wakiweka tu takwimu, na pandemic wave mpya inaingia. Hapo ndo mtafungiwa ndani mpaka akili iwaingie sawasawa
 
Hii nchi bado sana kujitegemea kiuchumi, tuendelee kuomba misaada huku tukijiimarisha zaidi siku za mbeleni hasa kuweka vyanzo vya kudumu vya ukusanyaji mapato ya nchi.
 
Pesa ya masharti peleka kenya!! Tanzania hakuna corona! Hata ukiitafuta kwa tochi huwezi kuiona. Mungu ameiponya nchi yetu !
 
Hapakuwa na ulazima wa kuunda kamati ya ushauri. Tulipaswa kutekeleza maagizo ya WHO. Tumeonekana kama wabishi tu!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Tuzike majeneza matupu kama wetu. Hili kupata pesa. Kama waleeee +25....
 
Hatimae inaelekea mtego wa mabeberu wa covid 19 utafyatuka kuinasa Serikali ya Samia.

IMF na Benki ya Dunia wako kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kuikopesha kiasi cha dola za kimarekani $571 milioni. Kiasi hicho ni takriban sawa na shilingi za kitanzania trilion 1.2. Hizo ni hela nyingi sana ambazo nchi inaenda kutiwa deni.

Kuna mtazamo duniani kote kwamba covid 19 ni ugonjwa ambao madhara yake yamekuzwa kwa kutiwa chumvi sana na mashirika na makampuni yenye ubia wa kibiashara na magonjwa yanayosambaa kwa haraka. Na kwamba ubia huu unasambaa hadi kwenye mabenki yanayomilikiwa na nchi za kibeberu.

Mabenki ya nchi tajiri ifm na beni ya dunia wanakukopesha ili ununue toka makampuni ya nchi zao.

Mkakati wao ni kuwatia walimwengu hofu na kuwatisha ili wanunue toka orodha ya chanjo madawa na vifaa ambavyo wala sio mahitaji ya lazima.

Rais Magufuli alikuwa mwangalifu na jasiri kwenye janga hili ili kuepusha nchi kuingia kwenye mkopo usio lazima na pia kusimamisha maendeleo ya kiuchumi ya nchi.

Aliweza kubaini baadhi ya njama kama vile kuwekwa data za uongo kuhusu idadi ya wagonjwa wa covid 19 na kadhalika. Pia aliwaambia hizo nchi na benki ya dunia zilizotoa ofa ya mikopo harakaharaka wafanye msaada wa bure badala ya mkopo.

Katika mazungumzo yanayoendelea inafaa serikali isiende pupa maana kuna viongozi wana maslahi ya kibinafsi huku nchi inaingizwa kwenye deni lingine kubwa pengine halihitajiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…