#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

Waige mwenzao wa Uganda.
Km lengo lao Ni kutesa wananchi wake kwa takwimu feki
 
Pesa ya mkopo tunapigwa biti la hivi? Si tuwape takwimu feki kama za majirani zetu ambao TV zao huonyesha vitanda tu vya wagonjwa wa covid wakati India tunaona marehemu wakiwaka kwenye matanuru ya moto
 
Waige mwenzao wa Uganda.
Km lengo lao Ni kutesa wananchi wake kwa takwimu feki
Walianza Kenya kuonyesha takwimu feki, Uganda wakaiga wakapiga hela, kwanini na sisi tusibumbe kuwafurahisha,
Mbona za uzazi wa mpango, ukimwi tunapika tu, tena rais wetu wa sasa ana asili ya uNGO ambako wamebobea kujichekesha kwa mabeberu na kupewa pesa!
 
IMF have revealed that Tanzania tried to ask for emergency loan from them and they were denied the loan until they start publishing covid data.


IMG_20210610_082140.jpg


=======

READ: - IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura
 
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha Mei mwaka jana wakati utawala wa Rais John Magufuli
Hahahaha kazi iendelee, kitanzi kwa Baadhi ya watu.
 
Ukikubali kuolewa sharti ulale bila chupi!!!!!!. Sisi tuna Elimu lkn hatuna akili. Madini, gesi maziwa utalii lkn bado sisi ni omba omba. W.H.O hawawezi kumvimbia kifua China kwa sababu China hatembezi bakuli.
Ongea kwa sauti kubwa mkuu wakusikie
 
Nimekuwa nikiongea siku zote ukombozi wa kweli ni kuwa na uchumi imara , hiyo ndio heshima ya nchi , yanayobaki yote ni kelele tu, tuna zaidi ya miaka 60 ya uhuru bado akili zetu zote zinawaza misaada, yaani viongozi wetu na wachumi wetu ni kama bongo zilisha bunguliwa.
Inasikitisha na kuumiza sana kwa kweli
 
Mama tuvushe watanzania kwani hatupo kisiwa,Tumelia sana kwa maamuzi ya utawala wa masikini Jeuri. Usiturudishe Misri, enough is enough tuunganishe na ulimwengu. mama out trust is in you...Regards.
Siuende ubelgiji na wewe, sisi tuache na kisiwa chetu shida iko wapi
 
Hapo sasa! Corona Tanzania kwa sasa haipo kinachofuata ni kupika data ili visa vipatikane kuwafurahisha wazungu.

Mungu aliisaidia nchi tuko salama hamtaki kukiri,tunaona tu mnavaa mabarakoa huko maofisini wakati wananchi wa kawaida wanaendelea na maisha kama kawaida.

Anzeni kupima na hivyo vipimo hata papai lina corrona ili visa viwe vyingi tuwafurahishe vizuri mabeberu,watuagize na lockdown kama walivyo fanywa majirani zetu.

Maana hofu ya corona ilitoweka hamuoni kuwa ni muhimu kuliko hizo fedha za masimango.
 
Hapo sasa! Corona Tanzania kwa sasa haipo kinachofuata ni kupika ili visa vipatikane kuwafurahisha wazungu.
Mungu aliisaidia nchi tuko salama hamtaki kukiri,tunaona tu mnavaa mabarakoa huko maofisini wakati wananchi wa kawaida wanaendelea na maisha kama kawaida.
Anzeni kupima na hivyo vipimo hata papai lina corrona ili visa viwe vyingi tuwafurahishe vizuri mabeberu,watuagizo na lockdown kama walivyo fanywa majirani zetu.
Maana hofu ya corona ilitoweka hamuoni kuwa ni muhimu kuliko hizo fedha za masimango.
Lockdown ina madhara makubwa kuliko msaada huo
 
Emergency loan!
Na waliotumia chanjo bado wanahaha

Covid: Everyone can see hospitalisations going up, says PM​

Published10 hours ago
Share
Related Topics
IMAGE COPYRIGHTGETTY IMAGES
image captionSoldiers guide members of the public to a vaccination centre in Bolton
Boris Johnson says it is clear that Covid cases are rising and hospitalisations increasing, as a decision on 21 June unlocking looms.
Official figures show more than 1,000 people in the UK are currently in hospital with the disease.
The PM said he needed to assess the extent to which the vaccine rollout has built up protection in the population before progressing with the roadmap.
And he said again that the decision for England would be "driven by the data".
The number of people in hospital with the virus has risen above 1,000 for the first time since mid-May.
Scientists believe this could be the start of the third wave, caused by the Delta variant.
The size of that wave depends on how effective vaccines are at protecting people - and that is still uncertain.
The government is due to decide on 14 June whether to lift the last remaining restrictions in England.
But government sources are more downbeat about the prospect of the easing going ahead the following week.
Speaking in Cornwall ahead of the G7 summit, the prime minister said there are "arguments being made one way or another" as to whether all restrictions can be lifted as planned.
"What everybody can see very clearly is that cases are going up and, in some places, hospitalisations are going up.
"What we need to assess is the extent to which the vaccine rollout, which has been phenomenal, has built up enough protection in the population in order for us to go ahead to the next stage."
 
Back
Top Bottom