Kuwa na adabu we nguchiro
Avunje mara ngapi ? Haya ndiyo madhara ya kuongozwa na mwanamke tena zuzu ....KWAKE SA100 UZALENDO NI MAFII
Serikali imeshinda kulipa nyongeza ya mishahara sasa wanategemea mikopo
 
Mama ameamua kushughulikia na nyie maskini this time around..

Ukiendelea kuishi kwa yaliyopita utaishia kulalama kila siku huku wenzako wakifurahia matunda ya kilimo Chao.
 
We mshamba wa Ludewa ndio msemaji wa serikali ama? Mbona unajitutumua sana humu balance shobo kidogo
Kwani wapi nimekwbia mimi ni msemaji wa serikali? Nanukuu kauli za Serikali fala wewe mbilikimo wa akili na nyumbu wa Sukuma gang 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220614-121729.png
    119.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220614-122517.png
    107.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220615-092451.png
    117.3 KB · Views: 7
Tozo za Miamala ya simu,tozo za petrol na dizel vinaenda wapi jamani Zanzibar petrol 2800 bongo 3200 kazi ipo
 
Safi sana, pesa nyingine inakuja kwa ajili ya miradi kama ile ya uviko 19..

Mama alisema wamalize haraka miradi pesa nyingine nyingi inakuja..

Ila nao wanazingua badala watoe zote wao wanasema Kwa miezi 40 sasa ndio nini?
Mpaka wengine warejeshe ndipo tuchukue sisi
 
Rubbish, endelea kutaka.
Katiba mpya itasimamia matakwa ya wananchi kuliko ilivyo Sasa ambapo katiba iliyopo inasimamia uzembe wa kufikiria wa viongozi wetu Kama KILA changamoto wanakimbilia kukopa Mwisho wa siku wataingiza nchi kwenye mdororo wa uchumi kama HUKO ethiopia na srilanka ambapo wananchi wameshindwa kuishi kwa mizigo ya kodi na ugumu wa maisha kutokana na Deni kubwa losilolipika kirahisi!!!

Katiba mpya itazuia walamba asali kupiga fedha za mikopo kama hizo za mafuta ambazo hazina impact Hadi Sasa!!

Naendelea kusisitiza na wino hautokauka kamwe kwamba;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya""
 
Hawa jama wana mpango wa kutununua kijanja nini...?
 
Wa
Walio karibu na Rais Samia, mshaurini kabla hajaingiza nchi kwenye matatizo, apange upya timu yake wa Fedha na Mipango. Wizara ya Fedha haitaki kusumbuka na hawatumii akili kabisa, ikitaka pesa inakimbilia kukopa na Rais wetu anakubali haraka haraka. Hii kasi ya mkopo italeta shida. Rais aangalie nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…