Aliyekwambia Katiba mpya itazuia mikopo ni nani? Matakwa ya Wananchi ni kama yapi?
 
Hizo hela wanakopa za kitu gani haieleweki yani, bora Magufuli alifanyia miradi hela japo walikuwa hawamkopi kwa fujo kama sasa ila angezifanyia mambo ya maana sana hizo hela kuliko zinavyoliwa na mchwa waliomzunguka mama Samia.
 
Hizo hela wanakopa za kitu gani haieleweki yani, bora Magufuli alifanyia miradi hela japo walikuwa hawamkopi kwa fujo kama sasa ila angezifanyia mambo ya maana sana hizo hela kuliko zinavyoliwa na mchwa waliomzunguka mama Samia.
Kuna shida, tena shida kubwa sana. Mikopo inaongezeka kwa kasi na matumizi ya serikali kwa vitu vya anasa nayo yanaongezeka. Rais ashtuke, wanampoteza na mambo yakiharibika watamgeuka kimoja.
 
Kuna shida, tena shida kubwa sana. Mikopo inaongezeka kwa kasi na matumizi ya serikali kwa vitu vya anasa nayo yanaongezeka. Rais ashtuke, wanampoteza na mambo yakiharibika watamgeuka kimoja.
Raisi kama katiwa ganzi ya akili, watu wanachezea hio mikopo, wanachezea tozo yani awamu hii kuna watu watatajirika kizembe sana tokana na mfumo dhaifu wa uongozi na hamna mradi wa maana utakaokamilika. Siasa tu zitatawala!
 
Dah, huo mshiko ungepatikana wote kwa pamoja tukautupia pale Bagamoyo Port hakika tusingejuta!
Au mwasemaje wakuu!?
 
Kila mkopo una mashart yake hawawezi kuzimwaga pesa zote hizo pwaaaaaaa kama njugu laahasha
Safi sana, pesa nyingine inakuja kwa ajili ya miradi kama ile ya uviko 19..

Mama alisema wamalize haraka miradi pesa nyingine nyingi inakuja..

Ila nao wanazingua badala watoe zote wao wanasema Kwa miezi 40 sasa ndio nini?
 
Wewe imagine unanikopesha mimi hela say million 5,nakuletea mpango kazi wa namna nitakavyozitumia hizo hela ,then na wewe utakuwa unaachia mafungu kadiri kilichopo kwenye huo mpango
Yaani kwenye mkopo wa dollar billion wanatumegea kwanza million 150+ haijakaa vizurii
 
Shida ni kwamba hizo pesa hazionekani mtaani...
 
Tufahamu tu hizo ni pesa za mkopo tena zina msururu wa masharti kutoka kwa wakopeshaji, hivyo tutapaswa kuzilipa kwa faida na kufuata masharti yao.
Swali linakuja.
1. Tutazilipaje?
2. Zina masharti gani?
Acha nongwaaa hii nchi tulishadaiwa kwa nguvu toka tumeanza kukopa...?

Acha wakope na wakope..
 
Huna aibu unalilia kuomba omba mikopo badala ya kutumia rasilimali za nchi kujenga uchumi?

Hizi akili sijui za aina gani katika taifa?
Mikopo sio msaada bali ni pesa inatakiwa kurudishwa wewe fala..

Kama Nchi unataka kuendelea lazima ulilie mkopo Ili ikuwezeshe kujenga Uchumi fasta..

Shida wewe ni mburula hujui kitu.
 
Ingekuwa awamu ya Tano ingekuwa ni Siri kabisa,
Kwakweli Samia anastahili pongezi sana kwa kuwa muwazi
 
Mikopo ya kuogopwa ni ile ya Wachina ambayo ni mitego tuu. Ile ndiyo mikopo tuliyokopa awamu ya 5 ili kuanzisha miradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…