Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Wewe umeamini?

Hizo ni siasa nyepesi!

Mimi siyo Bavicha wa kudanganywa kibwege bwege.

Mbowe anamiliki kampuni siyo genge la nyanya na TRA siyo mapoyoyo kama Bavicha mnavyofikiria!
Now you are assuming things,aren't you?

Unafikiri ungekuwa wewe ndio sisi tunaokusoma hapa na akili timamu,ungemuamini nani kati ya mtu mmoja public figure aliyesimama na confidence mbele ya nchi nzima akijizungumzia jambo linalomhusu yeye mwenyewe direct na kutoa malalamiko yake juu ya taasisi nyeti nchini akijua all the consequences NA WEWE usiyejulikana uliyejificha nyuma ya keyboard hapa ukizungumza lolote utakalo and nobody can reach you easily ili akuwajibishe na unachoandika?!

Im done with you.
 
Mbowe ni mwanasiasa hivyo kudanganya ni sehemu ya majukumu yake.

Wanasiasa wanadanganya msikitini itakuwa huyu aliyeongea na online tv za akina Millard Ayo?!!

Ni mjinga tu atakayeamini mfanyabiashara mkongwe na mzoefu kama Mbowe tokea akiwa karani kwenye biashara za baba yake anaweza kutumiwa assessment kwa e mail binafsi na akina Swai waliojazana TRA!
 
TRA waliipata wap private email ya Mbowe, kama siyo yeye aliitoa kama business contact. Nawashangaa hao wanaosema SSH kasema hili kaema lile. Ukweli ni kuwa yale ya SSH ni siasa na hayawezi kufanyiwa kazi nje ya sheria. Mbowe atalia, ataelekezwa TRA, au kumfurahisha atapigiwa mkuu wa TRA na kuambiwa amshughulike mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA. Mkuu atamuagiza aliye chini yakle kumshughulikia. Atayeshughulika atafanya kazi tena kwa uangalifu wa juu. Ataangalia sheria na atakokotoa na usijeona ajabu akakutwa anadaiwa zaidi. Rais hawezi kuwambia wamkate kodi kidogo kuliko sheria inavyosema. Ninyi ngojeni tu! Mnashangilia lakini TRA hawanyi kazi hewani. Wanatumia sheria. Kama kuna nafuu inatafutwa, pelekeni hoja bungeni ya kutuinga sheria ya kupunguza kodi. Kama sivyo, mtakuwa mnadanganywa tu.

Kuna kitu kimoja, watu wengi hawakielewi. Tanzania ina watu wa aina mbili au tatu. Kwanza kuna watu wa pwani. Pili kuna watu wa mjini. Tatu kuna watu wa vijijini. Watu wa pwani huwa wapole, na wajanja katika lugha/Kiswahili. Watu wa pwani hawana lugha ya kulazimisha, na anapoongea usiamini kila anachokisema. Kwa kifupi wana "diplomatic language". Katika kundi hili yupo Kikwete, Mwinyi, na sasa SSH. Watu wa vijini wana lugha ya nguvu na ya kulazimisha. Hawa hutoa maagizo. Katika hili tulikuwa na Nyerere na Magufuli. Wale wa mjni ambao wako katikati tulikuwa naye Mkapa. Saa hivi kuna watu hawajamuelewa SSH. Huyu ni mtu wa pwani na lugha yake ni ya kipwani. Anaposema kitu chunga saana kuchukuliya maana juu juu. She is diplomatic, and you might easily be taken for a ride. Matamshi yake yote, hayana maana ya maagizo. Anayesema haya yote akijuwa masharti yatazingatiwa, yaani sheria itachukuwa mkondo wake. Kwa hiyo furaha bila mabadiliko ya sheria ni kujipa furaha isiyokuwepo.
 
Utaiteteaje TRA
 
Wasukuma mnatapatapa sana. Mlikuwa mshaona nchi yenu. Polen sana. Enzi za upuuzi zishakwisha!!!!
Msukuma ametoka Wachagga tuanze kazi yetu tunayoijuwa... Alitubana mno, mpaka tukaanza kupoteza uzoefu. Unajuwa tena "without practice you loose skills. And don't forget, practice makes perfect. And you know what, we will take it to another level.
 
Kwa sababu Mbowe ni jizi. Alikaa kwenye nyumba ya "National Housing/Regitrar of Housing" kwa zaidi ya miaka 50 bila kulipa kodi. Hsta wakati huo alidai ana nyaraka za kuinunua/kulipa kodi lakini mpaka leo hajazipata kuziwasilisha serkalini. Kama aliongopa mara ya kwanza nini kinakufanya umuamini sasa.
 
Mleta uzi kichwa chake ni mzigo tu kwa mwili wake
 
Hatua za kufata kwenye case za Kodi unazifahamu au unakuja kuropoka tu hapa
 
Usitapetape na kukuruka huku na kule bila sababu , 1.Mbowe kaongelea biashara zake binafsi , Madame president hajaongelea jambo lake binafsi kaongelea matatizo kiujumla wake , usichanganye mambo ,
2.president hafananishwi na mwenyekiti wa chama , mbowe umfananishe na kina mrema , rungwe na wenyeviti wengine.
 
Mkuu, Umemaliza kila kitu[emoji119]
 
Bwashe nenda kalale umeshalewa ulanzi
 
Kuwa na akili uelewe kinachozungumzwa. Mbowe siyo mpumbavu kiasi hicho cha akili yako ndogo. Unaambiwa hana deni lolote la kodi. Maana yake watendaji wake wakiwemo managers, directors, auditors, etc wamefanya wajibu wao. TRA wangekuwa hawatimizi amri toka juu wangepeleka madai yao ofisini na watendaji wa business ya Mbowe wangejibu kiofisi. Lakini TRA, very unprofessionally, wametuma malalamiko kwenye email binafsi ya Mbowe huku wakijua Mbowe yupo gerezani na haruhusiwi kuwa na computer. Umeelewa sasa we bwashee.
 
Kama kweli walikuwa hawafungi na kuchukua hela za watu benki, kwanini huyu alisema hivi.....baada ya kifo cha mfu.....
Na ukweli tunaujua, huyu alikuwa na ufahamu fulani kichwani lakini alishikwa pabaya......

 
Umeambiwa alitumiwa ujumbe kwenye email yake binafsi.

Kingine mkuu huwezi kupambana na raisi akiwa madarakani. Akiamua jambo hakuna wa kumpinga kama aliamua hivo isingeshindikana katu, na hapa nchini raisi ana nguvu kubwa sanaa. Nadhani ana mkono wake katika hili la mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…