kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Katiba kwa sasa iko store,na inaweza sahaulika mpaka ikaliwa na mchwa, upinzani umekabwa kooHaya yote ni kwa sababu hatuna upinzani ulio serious.I wish Katiba yetu ingeruhusu mgombea huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba kwa sasa iko store,na inaweza sahaulika mpaka ikaliwa na mchwa, upinzani umekabwa kooHaya yote ni kwa sababu hatuna upinzani ulio serious.I wish Katiba yetu ingeruhusu mgombea huru.
Na huyo aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo kwa 8 bilioni sheria haistahili kuchukua mkondo wake!? [emoji15]
Hapa siyo swala la niguse ninuke au nini.JE HUYU MEMBE ALICHUKUA HIZO PESA AU HAKUCHUKUA ??Habari wakuu,
Anaandika kada wa CCM, Bolleni Ngeti
Uoga ukikuzidi unaweza kujikuta unajikimbia. Mchakato wa kumfungulia kesi ya utakatishaji wa Fedha (Money Laundering), Bernard Membe kuhusu kesi mfu ya MEIS ya kiwanda cha saruji mkoani Lindi umeiva.
Habari nilizozipata ni kwamba hiyo ndiyo silaha ya mwisho kumzuia Membe asigombee Urais kupitia CCM. Wadadisi wa mambo wananiambia uamuzi huu unaweza kumaanisha usemi wa Niguse Ninuke.
Na kile kivuko ati sikuhizi kakifanya kua kifaru cha jeshi ili tusikizungumzie, meko ni shidaaa
Hapa siyo swala la niguse ninuke au nini.JE HUYU MEMBE ALICHUKUA HIZO PESA AU HAKUCHUKUA ??
Niguse ninuke
Hii kauli inahusiana na wale wajeda waliotoroka na vifaru 9, BM -21 na dhana zingine then kujichimbia porini ?
La meli,nyumba. 2015.walimchagua hizo scandales zilikuwepo. Suala la Nyumba Sumaye alisema lilikuwa wazo la Sumaye na Mkapa.
Kwanini iwe wakati huu na sio siku za ukimya wake??Kama alihujumu kweli ni haki yake ya msingi akishtakiwa.
Kwanini iwe sasa wakati maji yamekorogeka in Mwinyi's voiceKama alihujumu kweli ni haki yake ya msingi akishtakiwa.
Membe atagombea Urais wa TZ kupitia ACT-Wazalendo.
Hii ni mbinu ya kuzigawa kura kutoka kambi ya upinzani.
Makosa yaliyofanyika kwa Lowassa hayawezi kufanyika tena ambapo kunakuwa mgombea mmoja pekee mwenye nguvu kutoka upinzani.
Wakati CDM wameamua Lissu awe mgombea wao, CCM lazima wazigawe kura zake.
Watu wanacheza ngoma za CCM bila kujua!
Siasa ni sayansi na sio uanaharakati na ushabiki!
Good stuffCAG,6.5 Trillions same shits every where. Ila kuna mazuri kama Sitigilas goji,SGR,mabarabara,hospital,utawala bora.
Kuliko lowasa?Hakuna alipo sema yeye anaogopa.
Membe anapendwa sana
Kuliko lowasa?
Hapendwi kama hivyo msemavyo, ila wakati unampa fursa na wanamjengea jina na wafuasi wenyewe
Usitafute vichaka vya kujificha, MEIS ni janga na kichaka alipopigia hela.Habari wakuu,