Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

Kodi kwa maendeleo ya nchi [emoji28]
 
Nathan Yale mabegi aliyoyakamata Halima Mdee hayuko tayari kuonyesha video zake, Kwani tayari ni sehemu ya mnufaika!!! Tumbo Tumbo Tumbo
 
Sweden wamefanya la maana sana duniani tunahitajiana.
 
Sweden wamefanya la maana sana duniani tunahitajiana.
Kama serikali bado inapokea hii misaada kwanini wasifute zile tozo za miamala ya simu?

Huku wanaomba "mikopo nafuu", kule wanapokea misaada, hapa wanatukamua wananchi kwenye tozo, hawa watu hata siwaelewi.
 
FISIEMU wanasema mbinu walizotumia kuiba kura na kushinda chaguzi zilizopita ni kama tone moja la maji ya bahari.
Nasema kama waalimu hawa wa Tanzania ndo watakuwawasimamizi wa uchaguzi hata tume iwe huru namna gani upinzani hamtachukua nchi.
Pitia yale mabango ya matokeo kwenye vituo vya kupigia kura uone hata hesabu za kujumlisha na kutafuta asilimia zilivyobumbwa na waalimu wa Tanzania
 
Kuwa mwendawazimu sio lazima uvue nguo,Kama wewe ni kijana na wapo wengine wenye upeo hafifu Kama huo tumeisha Kama taifa.
 
Waombe moderators waiweke vizuri. Haifunguki kwa baadhi ya devices
 
Hakika nimeona wizi ukisimamiwa na kufanywa na polisi!
 
Ni upumbavu kutaka tuamini hilo kama ni kweli,
Kama mtu unaiba kisha unajichukua video, sasa huo ni wizi gani?
Hiyo picha inadhibitisha vipi kuwa ni ya uchaguzi na ilipigwa kabla ya kuhesabu au baada ya kuhesabu.
Au mnataka tujadili vitu ambavyo ahavina tija na ni vya umbea.
 
Kama muda wa kuandaa wagombea haupo wanaishia kukodishwa muda wa kufuatilia vitu vya msingi kama kura unatoka wapi

Kufeli kwa upinzani ni kwa kujitakia


Huwezi toa jibu hilo kila mtihani nanukafeli na bado likawa ndio jibu lako
Sasa mbona mnatumia polisi kujaza makura feki?
 
Si wangeli ufunua tu mfuniko na kuingiza kirahisi
Issue ni akili tu!! Ndio maana umeitwa wizi wa kijinga uliofanywa na wajinga na wajinga wakatangaza matokeo na wajinga waliotangazwa tunayaona matokeo yake huko bungeni...
 
Vitu vya ajabu sana!!..Bora nifunge mdomo wangu
 
Kama muda wa kuandaa wagombea haupo wanaishia kukodishwa muda wa kufuatilia vitu vya msingi kama kura unatoka wapi

Kufeli kwa upinzani ni kwa kujitakia


Huwezi toa jibu hilo kila mtihani nanukafeli na bado likawa ndio jibu lako
Ila Kuna muda wa kuwatumia police kuweka kura feki kwny box la kura.
 
Walipandishwa vyeo hawa bila kwenda kozi🤣🤣
 
Na aliyeongoza huo ubabe huku akijiita ye Ni jiwe kweri kweri leo Yuko wapi leo?😁😁😁😁
 
Mie sio sio sio CHADEMA wala CCM nyenyenye…. Mipaka ya Lumumba utaijua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…