Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
mtimkav kafanya vyema,na kuna siku atakuja mwingine na kutuonyesha alipo Ben Saanane au mabaki yake(Gof forbid it)!
 
Na bado kila kitu kitakuwa wazi cheza na albadir.muangalie mzee wa chato sasa amebaki kuropoka tu.



Swissme
 
Lakini nyie wana JF Mungu anawaona! Mbona mnatoa data za wazi namna hii? yaani hakuna pa kukimbilia tena kuhusu hoja ya aliyehusika na kumtishia Nape bastola. Wale watetezi wao wako wapi tena? mbona siwaoni kwenye uzi huu..
 
Asanteni raia kudadeki intelligence ya raia ni kali kuliko polisi...imewachukua polisi miezi minne lakini raia ndani ya masaaa wameshanasa kila kitu
Ndo maana wa-TZ wengi hawaiamini tena polisi yetu...
 
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
DLXoYCxWsAAeZBu.jpg

DLXnj9GW4AARBnM.jpg


DLXnkySW0AAdRrP.jpg


Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari

Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

Unajua awamu hii kazi za viongozi ni kujitoa ufahamu na kutoa matamshi kana kwamba wanaopokea hayo matamko ni machizi. Hakuna jeshi la Polisi awamu hii kilichobaki kila mtu ajilinde mwenyewe. Huyu kisanduku anatambulika vyema na Sirro sasa ni maajabu ya pekee kuambiwa tuisaidie Polisi kumtafuta huyu mtu
 
Jamani na ile alio tishiwa Nape haikua bastola ilikua manati tu
 
Horrible people! Mtu anaishi kwa kudhuru wengine. Halafu unakuwa na fam,ilia na unakwenda kanisani au msikitini eti unaenda kuomba. Moto wa jehanam unawasubiri.
Huwa nashangaa watu wanataka kutoa roho za wenzao Huku wao wakitaka kuishi
 
Namwamini mleta mada, na amekuja kwa sababu tu.

kwanza ni mwanachama Mpya kabisa kajiunga leo, hana pa kusemea amekuja kutupa ukweli, Sirro ,makonda na wenzenu, Siri ni ya Mtu mmoja, Mkiwa wengi hakuna siri, mtaumbuka siku sio nyingi
Jamaa kaja kutuambia ukweli tu, baadae anasepa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom