Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Hivi naomba kuuliza, hii yote ni kwa ajili ya watu fulani waendelee kusalia madarakani? haishangazi huko jamhuri ya watu wa putinamo huwa wanapata ushindi wa kishindo wa 99.9999%.....
 
Ndiyo huyo huyo aliyeenda mbali kwa kusema baadhi ya washirika wake wako magerezani wakitumikia adhabu zao! [emoji848]
Jamani huyu mama wa watu mumsamehe, huwo umbeya kapelekywa tu na akina nani hi... na yeye akauamini.
 
Tuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.

Hapo ni kwa kuanzia.

Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
Unaonaje tuikianzisha #hash tag ya #BringbackLijenje
 
Yani siku hizi makomandoo wanapelekwa puta na polisi! Kweli maisha yanaenda kasi sana. Inabidi jwtz ivunjwe. Hii aibu haijawahi kutokea popote duniani, polisi akawa juu ya jeshi..tena commando!
Wewe mchochezi, kesi yako ya uhujumu uchumi!
 
Yani siku hizi makomandoo wanapelekwa puta na polisi! Kweli maisha yanaenda kasi sana. Inabidi jwtz ivunjwe. Hii aibu haijawahi kutokea popote duniani, polisi akawa juu ya jeshi..tena commando!
Huyo Komandoo mwenyewe amesema komando anaweza kupigwa na Askari na komandoo pia anaweza kumpiga askari,itategemea.

Amesema hapo mahakamani hizo stories mnazosikia khs makomandoo Ni za kwny movie za Rambo tu.
 
Back
Top Bottom