Lutein Urio si nimiogoni mwa mashahidi ya jamhuri?
Itapendeza kumwona akiwa hai kama ambavyo itakuwa kwa Moses Lijenje.
Angalizo: Kingai na Mahita si watu wema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lutein Urio si nimiogoni mwa mashahidi ya jamhuri?
Ndiyo huyo huyo aliyeenda mbali kwa kusema baadhi ya washirika wake wako magerezani wakitumikia adhabu zao! 🤔Huyo si alihojiwa na Salim kikeke akasema Mbowe Ni gaidi na alikimbilia Nairobi baada ya kujua Kuna msala?
whatever the meaning, mlete basi kma siyo kupotezwa siyo kuuawakupotezwa inamaanisha nini?
Jamani huyu mama wa watu mumsamehe, huwo umbeya kapelekywa tu na akina nani hi... na yeye akauamini.Ndiyo huyo huyo aliyeenda mbali kwa kusema baadhi ya washirika wake wako magerezani wakitumikia adhabu zao! [emoji848]
Siku hizi kuna wanaume nao wanavaa sare za vitenge, watakua upande gani?Hii kesi itachochea chuki kati ya vitenge na khaki. Waifute tuu haina maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje tuikianzisha #hash tag ya #BringbackLijenjeTuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.
Hapo ni kwa kuanzia.
Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
Unaonaje tuikianzisha #hash tag ya #LijenjeBringback
Akili yako fupi sana.....Hii ishu sio ya mama ni ya enzi za JPM Ila Sasa kamuachia mama msala kisa chadema
Ilikuwa kipindi cha Mwendazake
Unaweza kuta huyu jamaa ni komandoo flani aliwatoroka polisi akakimbia mafichoni.....
Wewe mchochezi, kesi yako ya uhujumu uchumi!Yani siku hizi makomandoo wanapelekwa puta na polisi! Kweli maisha yanaenda kasi sana. Inabidi jwtz ivunjwe. Hii aibu haijawahi kutokea popote duniani, polisi akawa juu ya jeshi..tena commando!
Huyo Komandoo mwenyewe amesema komando anaweza kupigwa na Askari na komandoo pia anaweza kumpiga askari,itategemea.Yani siku hizi makomandoo wanapelekwa puta na polisi! Kweli maisha yanaenda kasi sana. Inabidi jwtz ivunjwe. Hii aibu haijawahi kutokea popote duniani, polisi akawa juu ya jeshi..tena commando!
Are stupidity 😂Most of African leaders are stupidity
Kwanini asihusishwe kwenye kesi, hata kama hayupo akipatikana aje atumikie adhabu kwa mujibu wa sheria?Unaweza kuta huyu jamaa ni komandoo flani aliwatoroka polisi akakimbia mafichoni.....
dhana ya kudai kwamba aliuwawa bado itakuwa na walakini.....
Basi mabaya ya mama yako Kama unaona wivu mwanamke akisifiwa .Akili yako fupi sana.....
mazuri ya mama mabaya ya Magu.......
Hii ishu sio ya mama ni ya enzi za JPM Ila Sasa kamuachia mama msala kisa chadema
Yai viza hili, stupid and not stupidityMost of African leaders are stupidity
Kwani Mbowe kakamatwa kipindi gani?Magufuli kaacha msala kwa mama