Huo bado sio uthibitisho na wewe unajua fika.Kwamba Wahudhuriaje wale walipeperuka kutoka Tanganyika hadi kizimkazi, walikula upepo na wanalala kwenye minazi kama kunguru siyo?
mbona kama muungano sisi ndio tunajifanya tunaumia sana na Muungano lakini viongozi WA nchi wenyewe kiuhalisia wanajua Zanzibar ndio unaumizwa.Yote haya ni kutokana na ujinga tulionao Watanganyika, huu Muungano sio kabisa.
Hutaki fikra mbadala...unapenda kulazimisha "yanayotaka fikra zako"....Wewe nilshaku ignore, umerudije kwenye nyuzi zangu, Moderator nisaidieni kuignore huyu kapuku
[emoji1787][emoji7]Huo bado sio uthibitisho na wewe unajua fika.
Unao uthibitisho mwingine wa wapi walilipwa hizo fedha ?
USHAHID UKO WAPI??AU KAMA NAWEWE UNATKA KULIPIWA MTOTO WA KIUME SI USEME??NDIYO MAANA MNAAGA MASHINDANO KWA KASI SANA WATOTO WA SIKU HIZI KWA KUTAMANI VYA BURE BURE.Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Na wewe Kwa nini hujaenda kuhudhuria ili ulipwe hayo mapesa?
Kodi ya Tanganyika. Zenji wenewe hawejiwezi hata umeme huwa tunawasamehe bili.Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Tuwekee faida hapa tuoneSamahani, unafahamu dhima ya hilo tamasha? Je hasara za hilo tamasha zinazidi faida?
Ujue huna umuhimu,kausha badala ya Kulalamikia kama yatimaKama hujaitwa unaendaje kujipeleka kama mtoto asiyefunzwa na wazazi? Na wanaoitwa wanaitwa kwa kazi maalumu
KWANI UNAPOENDA NA WEWE KUFANYA SHEREHE KWENU KIMANZICHANA KUNA MTU ANAKUULIZA??SHOBO TUHHivi linahusianaga na nini Yani?? Au ndio kupeleka sherehe Tu kijijini kwao
Ukweli mtupuNjia pekee ya tanganyika kuwa salama ni kutengana na zanzibar
Ujue huna umuhimu,kausha badala ya Kulalamikia kama yatima
Mimi natumia pesa zangu situmii pesa za walipakodi, situmii pesa za wavuja jasho kusafirisha machawa kama nyie wala wasanii, wala silipi machawa kama nyie muwende kimanzichana, wala situmii pesa za walipakodi kulipa vyombo vya habari viende vikave habari kimanzichana.KWANI UNAPOENDA NA WEWE KUFANYA SHEREHE KWENU KIMANZICHANA KUNA MTU ANAKUULIZA??SHOBO TUH
Unaonekan wewe ni Kula kulala unakula kwa shemeji unalala kwa shangazi, NI mwendo WA kucheza na remote tuu kwenye masofaUSHAHID UKO WAPI??AU KAMA NAWEWE UNATKA KULIPIWA MTOTO WA KIUME SI USEME??NDIYO MAANA MNAAGA MASHINDANO KWA KASI SANA WATOTO WA SIKU HIZI KWA KUTAMANI VYA BURE BURE.