This shows how much mental Ill you are ..inaonesha tuu jinsi Gani wewe una IQ ndogo sana na hujui lolote kuhusu mpira wa miguu,, hii sio picha halisi, kama una akili timamu na sio kichaa, basi leta picha halisi ukiwa umewapiga hao wazee wakiwa ndani ya basi ..kama ambavyo.mmepiga basi likiwa linaondoka.
 
kwani zinasema lazima wafanyie mazoea hapo

wawe wapole kesho watapigwa swafiiiiii haina haja ya mauza uza
Chekini fala hiliii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sema nini Wana51mba wenzangu...

Wana51mba tunaonewa sana, Yanga inapendelewa na TFF

GSM anaharibu ligi sana

Tususie mechi twendeni ligi ya Zanzibar au Burundi huko

GSM adhibitiwe hafai kabisa yaani
 
we kanuni gani inasema mazoezi yafanyike uwanjani usiku? kwanini wasifanye mazoezi mchana? wanajua mchana kamera zitawanasa kna uchawi wao.
Kanuni inasema ufanye mazoezi ya mwisho muda sawa na ule wa mchezo
 
Kanuni za TFF zinaruhusu?
 
Yanga imetudhalilisha huko Duniani.
 
Uwanja wa Mkapa Yanga na Simba wote ni wageni na Yanga ni wenyeji kwa itifaki.

Swali la kujiuliza, je hawa timu ya wasomi wanaojua sheria na wakiongoza kwa kushinda kesi nyingi waliwajulisha Yanga ambao ni wenyeji wao muda wa kwenda kufanya mazoezi kwa Mkapa? Kama hawakuwajulisha mapema kuwa wataenda kuutumia uwanja walitegemea nani awafungulie milango ya uwanja na vyumba vya kubadilishia nguo?

Simba walijua nani wanamfuata kuwafungulia milango ni vile wamekumbana na kuzuizi. Hili linaonyesha wazi kwenye barua ya Simba inayosema meneja wa uwanja alisema hana taarifa na haiwezi kufanya mazoezi bila kamisaa. Ni wazi mambo hayakuwekwa sawa na Simba walijua wanachokifanya.
 
Kwanini waende usiku??
 
Simba wanafanyiwa figisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…