Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Ona bumunda hii hata Kanuni za Mpira haijui...mijitu mijinga kama hii ndio Mingi ndani nchi...Yaani linakurupuka sijui limevimbiwa pil

We jamaa unaniona bwege kumbe? Hata Kanuni hujui KAZI kuandika riwaya

kanuni inaruhsusu kufanya mazoezi, lakini sio LAZIMA. wakizuiliwa waende bunju. uwanja watauona kesho bhana. kwani uwanja wa taifa hawaujui?
 
Kanuni za caf hizo ila sio za TFF.

Je Mbeya city anavyokujaga kucheza na simba taifa anaganyaga mazoezi taifa kabla ya mechi ?
 
Screenshot_20250307_221803_Instagram.jpg


Duuuuuu kumbe watu hawalali.
 
YAANI UNAENDA KUFANYA MAZOEZI USIKU BUS LIMEJAA WAZEE WAMEVAA VITAMBAA VYEKUNDU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejitia aibu kubwa Mimi nimekuja haraka labda ntakuta picha ya hao wazee, kumbe nakuta picha za mabasi ..hao wazee wako wapi? Umeshindwa kabisa kupiga picha hata mzee mmoja akiwa na kitambaa chekundu kichwani? Simu yako mbovu kwani?
 
Sasa wale waganga waliojaa kwenye bus ndio walikua wanataka kuingia kufanya mazoezi?
 
Uwanja wa Lupaso unatumia cctv camera zilizotengenezwa Bahi, Dodoma au wapi? Kwamba hazifanyi kazi usiku?

Mimi nimekamata wezi walioingia kuiba kuku kwenye mabanda saa 8 usiku kwa kutumia cctv cameras, yet za uwanja mkubwa mnasema hazifanyi kazi? Shwaini kabisa.
 
Serikali izingatie uo uwanja ni wa umma, Simba walitakiwa wafanye mazoezi saa moja muda ambao mechi itachezwa.
Mambo ya kuja saa tatu usiku kufanya mazoezi ni kukiuka utaratibu.

Kwa tabia waliyonayo ya kuwasha moto uwanjani, Nchi inaweza kuingia hasara bila sababu.

Ao Simba wanaweza kuwasha moto wao wa kishirikina na kujikuta wame uchoma uwanja.

Sasa kama taarifa zinazodai gari limejaa wazee, ao wazee watacheza kesho!!!
 
Mzee wa kwanza: sisi mtufikishe hata nje ya uwanja fu kazi itakuwa imekwisha. Tutafanyia shughuli ndani ya basi.

Mangongo: tawile babuuuu. Aly ita dereva apeleke wazes wetu uwanjani
Hemedi Alley: hallo dreva leta bus huku kuna mahali tunapaswa kwenda
Dreva:....
 
Kwa timu ngeni kutoka Nje ya Nchi au Mkoa mwingine sio uwanja unaotumia kila siku useme ww ni mgeni? Game iliyopita Yanga walienda Taifa kufanya mazoezi?

Simba ana ugeni gani na uwanja huu wakati juzi wamedraw na azam uwanja huo huo?
 
Mzee wa kwanza: sisi mtufikishe hata nje ya uwanja fu kazi itakuwa imekwisha. Tutafanyia shughuli ndani ya basi.

Mangongo: tawile babuuuu. Aly ita dereva apeleke wazes wetu uwanjani
Hemedi Alley: hallo dreva leta bus huku kuna mahali tunapaswa kwenda
Dreva:....
It's a shame to see mental health patient like this all because of Simba vs yanga...
 
Acha wapigwe nyie mnaenda kufanya mazoezi na bus mbili zimejaa watu ambao awaeleweki ni watu Gani? Acha wazuiwe izo janja janja zimepitwa na wakati
Kwa hiyo kanuni inazuia timu kutumia mabasi mawili?
 
Muda uu wachezaji walitakiwa wawe wamepumzika. Sasa unakuta wakitoka apo wanapitia Kimbiji kwa ustaadhi kusomewa dua.
Mpaka wakirudi kambini wako hoi.
 
Back
Top Bottom