Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Kesho si siku ya wanawake wakajiandae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Round ya kwanza hizo kanuni hazikuwepo? Sikumbuki mechi za watani kama wanautamaduni huu.Ikifikia hivi Sheria inasemaje ,, nani anapewa adhabu kwa kuwazuia timu kufanya mazoezi kama Sheria inavyojulikana kila mahali kwamba siku Moja kabla timu mgeni anakuja kufanya mazoezi kwenye uwanja utakaotumika kwa mechi husika.
Mbona hujamjibu, je ndivyo kanuni inavyosema? Usijibu kishabiki, jibu kama mtu mwenye akili na ufahamu unayeelewa Sheria za mpira wa miguukwani zinasema lazima wafanyie mazoea hapo
wawe wapole kesho watapigwa swafiiiiii haina haja ya mauza uza
sasa mbona wao wanaroga badala ya kufanya mazoeziUnajadili maswala ya mpira hata huyajui kanuni zinasema mgeni wa mchezo husika kabla ya mchezo anatakiwa autumie uwanja husika kwa mazoezi
mkuu basi wapewe point 3 maana kanuni imevunjwaMbona hujamjibu, je ndivyo kanuni inavyosema? Usijibu kishabiki, jibu kama mtu mwenye akili na ufahamu unayeelewa Sheria za mpira wa miguu
Bado hujajibu kwa kutumia akili na ufahamu, umejibu kwa kuhamaki na kishabiki, na nimehitimisha kua hujui ama huna ufahamu wowote wa mpira wa miguu na Sheria zake, hivi ndio vyama tawala huwatumia mashabiki maandazi(oyaoya) aina yako ambao hawajui hata Sheria za mpira wa miguu kubwatuka ovyo hata katika mambo ya msingi ambayo yanahitaji ufafanuzi yakinifu...mkuu basi wapewe point 3 maana kanuni imevunjwa
Bro mbona simple round ya kwanza Yanga aliruhusiwa? Je kama hakuruhusiwa vipi kulikuwa hamna kanuni? Au hizi kanuni zimeanza round ya pili?Bado hujajibu kwa kutumia akili na ufahamu, umejibu kwa kuhamaki na kishabiki, na nimehitimisha kua hujui ama huna ufahamu wowote wa mpira wa miguu na Sheria zake, hivi ndio vyama tawala huwatumia mashabiki maandazi(oyaoya) aina yako ambao hawajui hata Sheria za mpira wa miguu kubwatuka ovyo hata katika mambo ya msingi ambayo yanahitaji ufafanuzi yakinifu...
Leta ushahidi wa picha na video...na je Sheria za mpira wa miguu zinasemaje kwa timu kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi..jibu kama mtu mwenye akili na msomi...YAANI UNAENDA KUFANYA MAZOEZI USIKU BUS LIMEJAA WAZEE WAMEVAA VITAMBAA VYEKUNDU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoa mada inaonekana umefilwa ndio ukapata simu hata kanuni hujui nenda kanawe mavi
Acha wapigwe nyie mnaenda kufanya mazoezi na bus mbili zimejaa watu ambao awaeleweki ni watu Gani? Acha wazuiwe izo janja janja zimepitwa na wakatiYanga itapigwa faini nyingi sana kwa sababu ya mechi ya kesho. Hapo bado hawajaruka ukuta
Ona bumunda hii hata Kanuni za Mpira haijui...mijitu mijinga kama hii ndio Mingi ndani nchi...Yaani linakurupuka sijui limevimbiwa pilMngekuwa na nia ya kufanya mazoezi mngefanya mazoezi asubuhi, mchana au jioni, maana hamna timu iliyokuwa inatumia uwanja wa taifa.
sasa saivi usiku huu, kama sio uchawi mnaenda kufanya nini ambacho mmeshindwa kufanya mchana? saivi mnajua cctv camera haziwezi kuwanasa?
tengenezeni timu, uchawi haufungi goli.
kipindi mnafungwa goli tano mlikuwa wenyeji wa mchezo, mlilala na uwanja, mlisindika mkafukia na kufukua, lakini wapi.
uchawi ndo unawafanya wachezaji waumie hafu mawasingizia wachawi.
mnaroga hafu dawa ikikataa wachezaji wenu wanakuwa wazito hafu mkifungwa mnawasingizia eti wamepewa ela na yanga.
TENGENEZENI TIMU MUACHE JANJA JANJA.
TZ tunaijua vizuri, hamna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayeamini eti simba wanaenda kufanya mazoezi usiku huu.
We jamaa unaniona bwege kumbe? Hata Kanuni hujui KAZI kuandika riwayaMngekuwa na nia ya kufanya mazoezi mngefanya mazoezi asubuhi, mchana au jioni, maana hamna timu iliyokuwa inatumia uwanja wa taifa.
Sasa saivi usiku huu, kama sio uchawi mnaenda kufanya nini ambacho mmeshindwa kufanya mchana? saivi mnajua cctv camera haziwezi kuwanasa?
Tengenezeni timu, uchawi haufungi goli.
kipindi mnafungwa goli tano mlikuwa wenyeji wa mchezo, mlilala na uwanja, mlisindika mkafukia na kufukua, lakini wapi.
Uchawi ndo unawafanya wachezaji waumie hafu mawasingizia wachawi.
mnaroga hafu dawa ikikataa wachezaji wenu wanakuwa wazito hafu mkifungwa mnawasingizia eti wamepewa ela na yanga.
TENGENEZENI TIMU MUACHE JANJA JANJA.
Tanzania tunaijua vizuri, hamna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayeamini eti simba wanaenda kufanya mazoezi usiku huu.
Kanuni sawa but lile bus jingine lillikuwa limebeba watu Gani?Kanuni zinaruhusu timu ngeni kufanya mazoezi muda ule ule ambao mechi itafanyika. Kama haujui kitu punguza kuongea.
Hivi visababu tu! za kunyapia kolo kachungulia kaona game ya kesho hachomoki, nasikia anataka kula nyoya🤣🤣Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
View attachment 3262877
Tazama video hii ya tukio husika
View attachment 3262905
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya kushindwa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi.
View attachment 3262951
Simba SC walikuwepo uwanjani tangu saa moja ila imeshindikana wao kufanya mazoezi baada ya kuzuiwa.
View attachment 3262928View attachment 3262929
Kuhusu SHERIA
Sheria za soka, hasa chini ya FIFA na mashirikisho kama CAF na UEFA, zinaeleza haki za timu mgeni kuhusu matumizi ya uwanja kabla ya mechi. Kwa kawaida, masharti haya yanahusiana na mazoezi ya mwisho na kukagua uwanja.
Masharti Muhimu kwa Timu Mgeni:
1. Siku Moja Kabla ya Mechi: Timu mgeni kwa kawaida inaruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja rasmi wa mechi siku moja kabla ya mchezo.
2. Muda wa Mazoezi: Kuna kikomo cha muda wa kutumia uwanja, mara nyingi kati ya dakika 60 hadi 90, kulinda hali ya nyasi.
3. Hali Mbaya ya Uwanja: Kama uwanja uko kwenye hali mbaya (mfano, mvua nyingi), mwenyeji anaweza kuzuia mazoezi hapo ili kuulinda, lakini timu mgeni inapaswa kuruhusiwa kuukagua.
Pia, Soma
Wameamua tu kutengeneza taharuki na watanzania mlivyo wajinga mmejaa kwenye mfumo hapo tunaojua kuzisoma code tayari jambo lishaisha tayari.Wakuu