Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Wakuu

Ubaya Ubwela umewageukia!

Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

View attachment 3262877
Tazama video hii ya tukio husika

View attachment 3262905
Pia, Soma
Labda mazoezi ya ulozi,
Lakini ya soka Big No, haiwezekani kwa nn wafanye mazoezi usiku, whats so special kwa wao kufanya mazoezi usk huu? Big No ulozi No...Ulozi No.....
 
Unajadili maswala ya mpira hata huyajui kanuni zinasema mgeni wa mchezo husika kabla ya mchezo anatakiwa autumie uwanja husika kwa mazoezi
Mechi ya round ya kwanza Yanga aliruhusiwa au round ya kwanza kulikuwa hamna kanuni ila round hii ndio mnakumbuka kanuni.
 
we kanuni gani inasema mazoezi yafanyike uwanjani usiku? kwanini wasifanye mazoezi mchana? wanajua mchana kamera zitawanasa kna uchawi wao.
Kabla ya kupenda timu jipe muda wakujifunza angalau kidogo tu kuhusu soka.
 
Mngekuwa na nia ya kufanya mazoezi mngefanya mazoezi asubuhi, mchana au jioni, maana hamna timu iliyokuwa inatumia uwanja wa taifa.

Sasa saivi usiku huu, kama sio uchawi mnaenda kufanya nini ambacho mmeshindwa kufanya mchana? saivi mnajua cctv camera haziwezi kuwanasa?

Tengenezeni timu, uchawi haufungi goli.
kipindi mnafungwa goli tano mlikuwa wenyeji wa mchezo, mlilala na uwanja, mlisindika mkafukia na kufukua, lakini wapi.

Uchawi ndo unawafanya wachezaji waumie hafu mawasingizia wachawi.
mnaroga hafu dawa ikikataa wachezaji wenu wanakuwa wazito hafu mkifungwa mnawasingizia eti wamepewa ela na yanga.

TENGENEZENI TIMU MUACHE JANJA JANJA.

Tanzania tunaijua vizuri, hamna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayeamini eti simba wanaenda kufanya mazoezi usiku huu.

simbaa.jpg
 
Vibaby girl vinapenda sana kulia na drama drama. Ndio michezo yao kama vilast born vile. Nawaonea huruma sana kuanzia viongozi, wachezaji mpaka mashabiki. Yaan ni very poor minded persons, yaan vitu vidogo mnaviundia zengwe muonewe huruma na kujitafutia visababu ili mkifungwa mpate cha kujitetea.
 
Kabla ya kupenda timu jipe muda wakujifunza angalau kidogo tu kuhusu soka.

hamna unachojua kwenye mpira kunizidi we kunguni.
tengenezi timu.

kipindi mnapigwa tano nyie ndo mlikuwa wenyeji wa mchezo, mlikesha, mlisindika na kufanya mfanyavyo, na bado mlikandwa. waliokataa kutumia madawa yenu akina chama, baleke, inonga. ndo wale mliowasingizia eti wamepewa ela na yanga.

mnawaua wachezaji kwa ujinga.
mechi yenu na azam taarifa tunazo mwanozo mwisho, mbona haijawaacha wachezaji wenu salama.
 
Duh 🙄 mpira wetu Una safari ndefu mno. Kama hujui kuwa kuna kanuni na Sheria za soka basi kazi ipo kubwa mno
 
Duh 🙄 mpira wetu Una safari ndefu mno. Kama hujui kuwa kuna kanuni na Sheria za soka basi kazi ipo kubwa mno
Hatujakataa jee Yanga round ya kwanza aliruhusiwa? Au round ya kwanza hamna kanuni ila round ya pili ndipo kanuni zinaanza kutumika?

Sikumbuki hii kitu kwa timu za watani wa jadi kama wanautamaduni huu.
 
hamna unachojua kwenye mpira kunizidi we kunguni.
tengenezi timu.

kipindi mnapigwa tano nyie ndo mlikuwa wenyeji wa mchezo, mlikesha, mlisindika na kufanya mfanyavyo, na bado mlikandwa. waliokataa kutumia madawa yenu akina chama, baleke, inonga. ndo wale mliowasingizia eti wamepewa ela na yanga.

mnawaua wachezaji kwa ujinga.
mechi yenu na azam taarifa tunazo mwanozo mwisho, mbona haijawaacha wachezaji wenu salama.
Ukirudia kusoma maelezo yako unaweza kulia mwenyewe jinsi ulivyo mjinga.
 
Mnyama kaondoka tayari uwanja wa Taifa. Ruhusa haikutolewa
 
Back
Top Bottom