Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Wabongo kwa mikwara kwenye keyboards hua hawajambo , ila uhalisia hua hakuna kabisa ,
Magufuli aliwaachia watanzania hofu na uoga tu
 
Acha siasa za maji taka.
Ukiwa unasifia nchi za nje kwa miji yao kupangiliwa ni kwa sababu huo upuuzi wa machinga hawajauendekeza.

Unatamani ukaishi USA kwa sabab miji imepangiliwa, hapa kwetu mjini kama soko la mabilinganya, acheni kutumika kisiasa miji lazima iwe na mpangilio na utaratibu
 
Ndio tatizo la kumfuga mbwa na kuwa na mazoea nae mpaka chumbani...kuna siku atakufuata mpaka Masjid!

Damu batachuruzika!
 
ivi mwanza ipo nchi gani ?kama tanzania watnzania hawana moyo wa kuvumilia vilungu shauli yako utabaki peke yako.kama mwanza ipo kenya sawa
 
Tatizo ni viongozi. Kama ilivyokuwa kwa Mh. Rais Magufuli ndiyo ilivyo kwa Mama Samia. Yaani viongozi wanashindwa kufuata maelekezo kabisa. Hivi wanashindwa nini kushirikiana na sekta binafsi kuwapanga machinga??? Hivi mpaka rais aje kusema namna ya kuwapanga machinga????
 
Viongozi wa wafanyabishara wadogo almaaruf Machinga wa Pamba Road

 
Machinga Eneo la Stendi ya Daladala Mwanza, mwaka 2019

 
Maneno matupu tu haya,mwaka jana kwenye uchaguzi kilichotokea mlijua wanaoadhibiwa ni wapinzani tu na nyie hayawahusu?

Sasa mtatoka na hamna kitu mtafanya na mkianza kuwa vibaka mitaani matairi yapo tutawakaanga.
Hawa wajinga uharibifu wao wa miundombinu na kuvuruga utaratibu wa mipango miji wanataka tuwasapoti,mtaondoka kwenye maeneo yasiyo rasmi na lolote hamtafanya.
 
Wakati watumishi wananyanyasika mlifurahi eti wakomeshwe wakome,

Wakati wafanyabiashara wanabambikiwa makodi ya kukomoa mlifurahia wacha wanyooshwe

Wakati wapinzani wananyanyasika kuwatetea mliwakejeri mkasema wakome wanepata kiboko yao.
Pambaneni na hali zenu kwa hakika hawa viumbe wanaoitwa wanyonge hawapaswi kuonewa huruma

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sukuma gang Vs Fisiemu
 
Kwahiyo mwendazake aliharibu hadi akili za chadema wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…