Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Ndiyo itakavyokuwa, CCM itageuka mtetezi wao, wala hawatafurushwa. Watapiga biashara kwa uhuru kabisa na wataichagua tena CCM mwaka 2025. Halafu wapinzani watakuja kuwaambia andamaneni nao watawacheka kama ulivyocheka sasa.
Jumatatu waingie mtaani tuone kama wao ni wanaume.

Waoga sana hao.

watapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Utapovunjwa center bolt hiyo jumatatu usisahau kuja kutupa mrejesho.
 
Ni machinga wale wale wenye vitambulisho na kadi za ccm au tusubirie wengine??
 
Tutawashughulikia vizuri nyie wachafuzi wa mazingira.

Serikali iko macho. Jaribuni muone jumatatu mtawasimulia wake zenu kitakachowapata.
#tunataka kanda ya ziwa tujitenge,tunataka Uhuru wetu na tuwe nchi kamili
 
Mkuu, samahani.

Kwa uandishi wa aina hii hata kukuonea huruma inakuwa ngumu. Hao unaotaka kupambana nao hata kama nasi hatuwapendi kwa sababu zilizo tofauti na zako watawapondaponda vichwa kwa kukosa kutumia akili kwenu.

Ninachotaka kukufahamisha bila ya woga wala upendeleo ni kwamba ni lazima SOTE tufuate taratibu. Tunapojiwekea taratibu na sheria, sote, bila ya ubaguzi ni lazima taratibu hizo zifuatwe. Kama ni taratibu mbaya, pia ni lazima pawepo na njia za kuzirekebisha.
Hatuwezi kuwa taifa la kila kundi lijiamrie tu linavyotaka kufanya bila ya kuwepo na utaratibu maalum.

Unacholazimisha hapa, ni kutumia vitisho. Huna tofauti yoyote na hao unaopanga kwenda kupambana nao. Mtakapo pondwa pondwa vichwa vyenu kwa ukaidi na kutotaka kufuata taratibu, msigeuke na kuja kuwalaumu waTanzania kwa kuwaacha msagike, kwa sababu inavyoonekana nyinyi mtakuwa wabaya zaidi ya hao wabaya waliopo, mnaotafuta kupambana nao hapo Jumatatu.
 
Ukweli ni kwamba, mtapigwa mpaka mchakae! Haiwezekani kuziba barabara namna hiyo! Yule mzee alikuwa tutusa!
 

Kwani mliowachagua October 2020 wanasema je?
 
Ukweli ni kwamba, mtapigwa mpaka mchakae! Haiwezekani kuziba barabara namna hiyo! Yule mzee alikuwa tutusa!

PGO hairuhusu mtu kupigwa wacha vijana wateme nyongo.

Kwani waliyempigia kura kwa ahadi hizi hawapo wanaoendeleza kazi?
 
Pole mkuu Umeandika kwa uchungu ila chunga usiendeshwe na hisia endeshwa na uhalisia chunga afya yako n muhimu Tafuta namna utaendesha maisha yako
 
Hapo bado sana na lazima hao machinga warudi kwenye komon sensi zao.

Walidanganywa na wana ccm kuwa hakuna atakaye wagusa kisa wamekubali kuichagua ccm .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…