Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

 
Hakuna nchi siyo na utaratibu. Mtahama tu
Na hawaja fukuzwa. Bali wameambiwa waache maeneo wazi. Imagine hivi sasa miji yote hakuna parking, hakuna njia za watembea kwa miguu. Ccm imeharibu mipango miji nchi nzima. Wamachinga tembezeni vitu vyenu
 
Tafuta kazi nyinginr ya kufanya nyie machinga mmejaa vibaka tu
 
Mlitumika kwenye uchaguzi msimlilie mtu

Baadhi ya Wafuasi wa Chadema mnakuwaga wapumbavu sana, sasa unalazimisha kila mtu awachague!???

Nini maana ya demokrasia mnayoihubiri!??
Wkt mwingine huwa nasema nyinyi mkishika madaraka mtakuwa wakatili na wenye chuki kuliko utawala wowote ktk nchi hii

Diamond na wasanii wengne mmewachukia kisa waliburudisha kwenye kampeni, wamachinga mnawachukia kisa walikuwa wakimshabikia Magufuli aliyewaruhusu kufanya biashara bila bughudha,,,, sasa nyinyi wenzetu ni chama cha siasa cha namna gani!??

Demokrasia na Uhuru wa maoni/mawazo plus Uhuru wa kuchagua mnaoutaka ni wa namna ipi mnaouhubiri!??
 
Tatizo la chadema kuanzia baadhi ya viongozi na machawa (wafia Bendera) bado hawajajipambanunua kitasisi wao wamebase kiitikadi, hii kitu ni kansa kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, jenga ushawishi kwa wananchi wa kawaida walio wengi na usitafute huruma kwa kujiangalia kwenye kioo........
 
Hii nchi tayali ipo mikononi mwa mabeberu na wanalindwa, kiukweli sisi masikini hatuna chetu tena , tumesharudi kulekule kwa mkwere, kipindi kile utawala uliwakumbatia sana mafisadi na mabebari waliokua wakiumiza hii n hi, mama ntilie na sisi wamachinga tulipata tabu sana na mamlaka zilizokua zikiwalinda mafisadi na mabonyenye wao, kiukweli MUNGU sijui ni kwa nini watu wazuri wanaopigania haki kwa wanyonge huwa hawaishi muda mrefu na sijui sir god nadhalia ipi anayoitumia kuwaweka muda mrefu duniani viongozi wasio kua na hofu ya MUNGU. Ombi letu kwake mama samia asiruhusu kufuta mazuri aliyokua ametufanyia magufuri hili kuwafuraisha makabaira. Asikubali kushawishiwa na viongozi waliomaliza muda wao japo kipindi chao mbk wafanyakazi hewa walilipwa mishahara wakamshauri alejeshe kwa kasi mambo yao, watatulia jinsia ya raisi kwa kumlaghai hiki miladi yao ya kifisadi ambayo magu aliishitukia wakataka airudishe kipindi hiki, wamachinga tunafamilia mama amuogope MUNGU km mwisilamu ajuwe si wote wenye uwezo wa kwenda kura moven pick au kilimanjaro hotel wengine mama ntilie ndio zetu jijini.
 
Ondoa machinga wote mjini....na zoezi liwe endelevu
 
Ondoa machinga wote mjini....na zoezi liwe endelevu
Heri wewe, Mungu aliyekubariki ukawa nacho, lakini Mungu aliye mnyima Huyo ni huyohuyo aliyekupa wewe, kwahiyo kama hajampa yeye basis hata wewe pia anaweza kukunyang'anya, Chunga maneno yako kijana, upo katika hii dunia iliyojaa majanga ,shida,vita na ufedhuli wa level ya PHd
 
Sawa!
 
Ungekuwa unaijua siasa sasa hivi ungeficha hizi kumbukumbu mbovu, ungejifanya unasikitika nao ili hatimaye wakuone wewe una afadhali kuliko washindani wake. Siasa ni mchezo wa mahesabu ya kimkakati, kuvizia hisia za watu dhidi ya mshindani wako.
Hayo yote bure Tanzania bila tume huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…