Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Kama ni kweli basi ziwe vurugu za kuleta mageuzi yenye kuwakomboa kifikra na kimaslahi maana hili kundi linakuwa kama special group vile. Ila viongozi wengi wa CWT niwanyonyaji na wahuni sana wanadhani walimu hawakwenda shule kumbe ni basi tu umasikin unawafanya wasiwe

Wakuu wa shule wapo hapo mkuu?
 
Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma .

Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini .
Waache bhana acha unoko kuna training ya Ndoige na Peresu Peresu inaendelea pale ukumbini
 
Daah huu Uzi utajaa wambea wa Ndoige Ndoige tu, utasikia nani kapigwa Nyamhocha kapona? Wamemuachane nyomhocha , kapitia mlango wa nyuma au?
 
Back
Top Bottom