Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Usingetoa taarifa

Acha wauane wanyonyaji wakubwa hao!

Tena naomba polisi wasisogee kabisaa Hadi kichuri kitoke!

Hiki chama nakichukia kuliko chama chochote,wameshiriki Sana kwenye ugumu wa maisha KWA walimu wengi!!

Huku wao wakitafuna Fedha za walimu KWA mfumo wa posho!!
 
Wauane tu hawana faida , makondoo ya CCM . Huwa hayajitambui yanatumika kuiba chaguzi.
 
Mwalimu mpwayungu village ni mtata sana! Hata Mwalimu mkuu wake anamuogopa kama ukoma pale shule ya msingi Mpwayungu.

Salary slip yake imejaa madeni! Shuleni amekuwa ni mtoro sugu! Kisa ni mwakilishi wa CWT!
Mkuu niombe radhi nitakushtaki, sijawa nadhiki kiasi cha kufanya kazi ya ualimu, kwanza sijasomea fani ya kinyonge kama hiyo
 
Kama ni kweli basi ziwe vurugu za kuleta mageuzi yenye kuwakomboa kifikra na kimaslahi maana hili kundi linakuwa kama special group vile. Ila viongozi wengi wa CWT niwanyonyaji na wahuni sana wanadhani walimu hawakwenda shule kumbe ni basi tu umasikin unawafanya wasiwe wanaharakati
Unastahili kabisa kuwa rais wa CWT Taifa, ukilinganisha na wale mbuzi walioko huko.
 
Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma.

Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
Hakuna aliye mahututi ama kutangulia haitapendeza kabisa
 
Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma.

Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
Acha wapigane wanajuana hao.
 
Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma.

Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
Mmmh
Kitu kimepandikizwa ndani
 
Back
Top Bottom