Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma.

Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
Unajua nimeangalia live asubuhi wale waalimu wameshika mabango huku wancheza kuashiria kufurahia nikafirikia mambo kazaa nikaona jinsi ambavyo kizazi ambavyo hakina ustaraabu na udumavu wa akili:
1. Waalimu nchi nzima hawana makazi bora
2. Waalimu nchi nzima wana madai kibao
3. Waalimu nchi nzima ofisi zao ni vituko
4. Waalimu nchi nzima hawana sauti na huwa hawasikilizwi mfano madai ya posho za kazi za ziada etc
5. Yaani Mwalimu hana hadhi, anazidiwa na mbunge

Yaani I wish ningekuwa rais, Mwalimu Minimum salary ingekuwa mil 5 na ningehakikisha kila mwalimu anajengewa nyumba ya kuishi nzuri, ningewasomeshea watotot wao na kuwalipia bima ya afya maisha yao yote. Ningehakikisha Mwalimu anapata upendeleo sehemu zote zenye huduma mfano hospitali, bank etc.

Yaani roho inaniuma sana, leo huu upumbavu na ujinga tunaoushuhudia wa vijana kukosa maono na jamii kubaki ni jamii wa watu wanaojadili watu badala ya vitu na uoga unatokana na misingi mibovu ya waalimu inayosababishwa na walimu kuwa na mazingira magumu ya kazi.
 
Hiyo point number five sijakupata..
 
CWT, Précision Air, MCB na NICOL ... Hizi ni taasisi zinazoendeshwa na watu wajanja wajanja. Taasisi hizi hata pale zinapokiuka masharti ya kuundwa kwake huwa haziguswi na mkono wa sheria.....Chunguza.
 
Back
Top Bottom