Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Usingetoa taarifa

Acha wauane wanyonyaji wakubwa hao!

Tena naomba polisi wasisogee kabisaa Hadi kichuri kitoke!

Hiki chama nakichukia kuliko chama chochote,wameshiriki Sana kwenye ugumu wa maisha KWA walimu wengi!!

Huku wao wakitafuna Fedha za walimu KWA mfumo wa posho!!
 
Wauane tu hawana faida , makondoo ya CCM . Huwa hayajitambui yanatumika kuiba chaguzi.
 
Mwalimu mpwayungu village ni mtata sana! Hata Mwalimu mkuu wake anamuogopa kama ukoma pale shule ya msingi Mpwayungu.

Salary slip yake imejaa madeni! Shuleni amekuwa ni mtoro sugu! Kisa ni mwakilishi wa CWT!
Mkuu niombe radhi nitakushtaki, sijawa nadhiki kiasi cha kufanya kazi ya ualimu, kwanza sijasomea fani ya kinyonge kama hiyo
 
Unastahili kabisa kuwa rais wa CWT Taifa, ukilinganisha na wale mbuzi walioko huko.
 
Hakuna aliye mahututi ama kutangulia haitapendeza kabisa
 
Acha wapigane wanajuana hao.
 
Huu ni uzushi. Walimu wa Tanzania wapigane? Haiwezi kutokea. Walimu wa nchi hii ni kondoo wasiyo na manyoya wanaotembea kwa miguu miwili.

Ni washezi wa taifa hili
Hao ni walimu ccm
 
Mmmh
Kitu kimepandikizwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…