Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Huu ni uzushi. Walimu wa Tanzania wapigane? Haiwezi kutokea. Walimu wa nchi hii ni kondoo wasiyo na manyoya wanaotembea kwa miguu miwili.

Ni washezi wa taifa hili
Sio wao tu ni almost watanzania wote makondoo.

Nchii hii 99% ni mazebwe.
 
Wameshafitinishwa
 
CWT, Précision Air, MCB na NICOL ... Hizi ni taasisi zinazoendeshwa na watu wajanja wajanja. Taasisi hizi hata pale zinapokiuka masharti ya kuundwa kwake huwa haziguswi na mkono wa sheria.....Chunguza.
Sijui umetumia Vigezo na Akili Gani kuhusisha CWT(umoja wa kinguvu wa Walimu) ,NICOL(kampuni ya hiarii ya Mitaji na Precision Air kampuni Binafsi ya Ndege........sioni ni jisi Gani muundo na uendeshaji wa hizo taasisi tatu za kwanza inaweza husiana na kampuni Binafsi ya Precision Air
 
Umefanya vizuri kukiri kutokuona uhusiano uliyopo kati ya taasisi hizo tatu.
Fahamu kuwa hizo taasisi zimeorodheshwa kwenye soko la hisa la DSE.
Kama una ufahamu wa jinsi gani masoko ya mitaji na Hisa yanavyofanya kazi na makampuni yaliyoorodheshwa....utaelewa tu.
 
Mkuu hapa umeattack personality ya mtu
Kiukweli umemkosea sana hata kama unamfahamu hii sio sawa
Ni utani tu mkurugenzi. Kwanza mwenyewe ameshakanusha mara zote ya kwamba yeye siyo mwalimu! Na ni bora hata afanye kazi ya kukota makopo barabarani! Ila siyo kuwa mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…