Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko ccm. Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya Jamiiforum siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas Mwashambwa kwa teuzi.
Mods msifute huu uzi.
Sasa hivi wamemuongezea malipo kwa siku alipewa afuu3
 
Ni afisa propaganda section ya mitandaoni
 
Sasa hivi wamemuongezea malipo kwa siku alipewa afuu3
Lucas Mwashambwa kama mnakumbuka alijitambulisha anatoka maeneo ya mbozi mbeya huko na wakati anajifunza uchawa pengine kweli alikuwa huko ila baada ya kumulikwa na vyombo amepewa milleage na wasaidizi wa habari ndani ya uvmcc anapata ripoti popote duniani tena in a flash of an eye na picha halisi za tukio instantly so ni afisa habari wa chama hapa jamiiforum na mwenye wasaidizi lukuki chini ya ofisi ya patrice emiri nk.
 
Back
Top Bottom