Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Sawa sawa mkuu kwa hao VOA wanasema kweli wametekwa wakapelekwa Rwanda?
 
Na hatupumziki, nauli zetu zishakusanywa
 
Kakwambia nani?

Unajua mission ngapi Jwtz inashiriki?

Wabongo mbona mnalodharau sana jeshi lenu?

Au kwa vile mnaona mnazunguka nchini mwenu bila bughudha basi mnaongea vyovyote mnavyojisikia?
Internet haidanganyi, ata wewe particular zako huwezi kudanganya kwa ulimwengu wa sasa.
 
Ungefanya nini huko jeshini wewe wanapigana wanajeshi wa SA tu ndio wanauliwa wa Tanzania wamejificha hawafi wanacheza karata tu na draft machakani huko eti wanalinda amani, wakati wenzao wa SA wanarusha vyuma mpaka wanauliwa
Mkuu mbona unadharau sana?

Au kwa vile unaenda dukani na kurudi na kufanya mambo mengine basi unaandika unavyojisikia?

Kuwa na heshima na jeshi lako brother!

Hii nchi kuna watu wapo wanajitolea sana mpaka amani inapatikana hivyo!

Hata hao Tiss wapo ambao wazalendo kweli kweli na wanajitolea kuitetea nchi yao! Achana na hawa wanaokiuka ethics zao.
 
Kuna mashirika au vyombo vya habari Genuine vinavyoaminika. VOA haimo.
 
Kakuambia nani?

Internet watu si wanai feed?

Kwani CIA imefanya operation ngapi? Zote zimo kwenye internet?
Ukizitafuta unazipata, ulishawahi kusikia taifa fulani limedukua taarifa za taifa fulani?
 
Sawa sawa mkuu kwa hao VOA wanasema kweli wametekwa wakapelekwa Rwanda?
Hakuna kitu kama hicho!

Vita huwa inapiganwa mpaka kwenye propaganda.

Russia waliambiwa wanatumia makoleo kupigana badala ya bunduki.
 
Kakwambia nani?

Unajua mission ngapi Jwtz inashiriki?

Wabongo mbona mnalodharau sana jeshi lenu?

Au kwa vile mnaona mnazunguka nchini mwenu bila bughudha basi mnaongea vyovyote mnavyojisikia?
Hizo mission ni za chapter gani
 
Na Teeth ndio engine ya nchi, Remember information is power
 
Ukizitafuta unazipata, ulishawahi kusikia taifa fulani limedukua taarifa za taifa fulani?
Kamanda! Taarifa huwa hazidukuliwi hivyo!

Udukuzi unaweza ukafanyika kwa

-human intelligence
-Signal Intelligence
- Au kwa Open source intelligence
-Au kwa Operation maalumu kwa wizi wa nyaraka au kuwateka watu muhimu ili kupata siri.

Udukuzi siyo cyber espionage peke yake.
 
Teknolojia imekuwa mkuu, kama unatumia kitu cha electronics, jua hauko salama
 
Mkuu kwani akinunua Lugumu tena hata kwa kuidalalia serikali kunatatizo? Au roho ina kuuma kuona mwanaume mwenzako ana toboa. ๐Ÿšฎ Hao Rwanda wana liwa vizuri tu na kwa silaha hizo. Upende usipende.
Mhh! Hukunielewa. Hebu tulia urudie kusoma tena. Nimeangalia weledi na uzoefu wa JW dhidi ya majeshi ya PK a.k.a. Rwanda.
 
Soon tunaenda kwenye full fledged War..

Hawawajui JWTZ hawa...
JWTZ ni wazuri kwa watu ambao hawana silaha.
Kufunga mtaa na kuchapa watu ovyo kisa mwanajeshi kapigwa na raia.
Wanaingia mtaani kusaka watu waliovaa nguo zinazofanana na sare za jeshi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ulivyoona wanajeshi wanapasua matofali kwa kichwa ukajua wapo vizuri? Kule kibiti wanakuta raia hawana hata bunduki wanakamata na kuua๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kule muzee mtu anabunduki halafu upo uwanja wa vita, hili eneo wapo M23, wakisikia umekanyaga hata mti, chuma๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Teknolojia imekuwa mkuu, kama unatumia kitu cha electronics, jua hauko salama
Si kila taarifa inapatikana kwa mfumo wa electronics.

Na ndiyo maana kuna mashushu wengine wananunuliwa.

Na ndiyo maana mara nyengine hufanyika operation maalumu ambao huusisha wizi wa nyaraka, kuteka au kuwarubuni watu muhimu ili kupata taarifa.
 
Acheni kuwalisha watu ujinga. Mamluki walioshikwa na kurudishwa kwao kupitia Kigali Rwanda ni raia qa ulaya hususani Romaniana Ufaransa Nenda VoA uangalie mwenyewe.
Kagame hawezi kufanya kosa kama hilo hata kwa kudanganywa maana anajua hiyo itakuwa mwisho wa utawala wake. Hata ikitokea akakamata askari wa S.A , Malawi au Tz hatafanya kile mnatangaza. Maana atakuwa amevuka mstari wake na hatamlaumu mtu. Ova
 
Ungefanya nini huko jeshini wewe wanapigana wanajeshi wa SA tu ndio wanauliwa wa Tanzania wamejificha hawafi wanacheza karata tu na draft machakani huko eti wanalinda amani, wakati wenzao wa SA wanarusha vyuma mpaka wanauliwa
Dah! Kwa hiyo wanaouliwa ndo uthibitisho kwamba wanapambana? Nani alikwambia kwamba wanajeshi huwa hawajifichi? Unadhani vita ni sawa na mieleka? Eti uonekane.
Halafu bro. hebu uwatake radhi wanajeshi wa Tz (JW)kwa kuwakejeli eti wanacheza karata na draft huko machakani ndo mana hawafi. Kweli!!????
(Heshima hainunuliwi)
 
M23 wana hasira na watanzania

Wangewadaka wangewapeleka mjini akhera mapema sana!
 
Si kila taarifa inapatikana kwa mfumo wa electronics.

Na ndiyo maana kuna mashushu wengine wananunuliwa.

Na ndiyo maana mara nyengine hufanyika operation maalumu ambao huusisha wizi wa nyaraka, kuteka au kuwarubuni watu muhimu ili kupata taarifa.
Nakubaliana na hoja yako, kwa sasa kuna kubuni kifaa ambacho kinaweza ku scan mawazo yako yote na siri ulizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ