Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha.

Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Sawa ngoja tuone huko kuzimu kama ataendelea kupenda pesa... na huyu mpenda kiki ya kuoa pisi kali naye tutaona maana bastola kaiacha huku [emoji23][emoji23]
 
Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.

Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.

Jamaa ni muoga na mjinga.

Alishindwa hata kua na escape plan.
Ukishakuwa na hasira forget about kuwa na plan... Hasira huwa ni kivuruge hasa utulivu wa akili...
 
Umeona waoga balaaa
 
jamaa kaona Bora wakahukumiwe na Mungu.
kuna siku nilitaka kumbamiza kichwa ukutani mtoto wa watu.
Ila nilipokumbuka kuna maisha baada ya kutoka uraiani na kwenda jela nikawa mpole
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Sifa na tamaa...!

Ila said alipenda kweli..shida Ni bidada...

Angemtia tu kilema kiaina halafu asepe kwa muda..

Au angemkodia viumbe huko huko kwa x wake wakalazwa... Wote.
 
Tunachangiaje speculation? Wote ni marehemu nani tumuulize anayeweza kuwasiliana nao waliko? Kwangu si habari.
Majirani zake, marafiki, ndugu, mashoga wapo duniani au woootee nao wamekufa?? So wewe pita kimya acha anayetaka kuchangia achangie hivyo futa neno "tunachangiaje" na uweke "ninachangiaje" right?
 
Nilimsikia mama yake kama ndoa yenyewe ilikuwa na miezi mitano hivi, sasa huyo Saidi amejenga nyumba tatu na kununua gari mbili katika kipindi hicho kifupi?

Mbona haya mengine ni nyongeza isiyopimika akilini?
Kwani kama una mkwanja mrefu ni lazima ujenge? Si unanunua tuu nyumba kali milioni 80 au milioni 100?? [emoji12] [emoji12]
 
Wakati mwingine mwanaume anapata mwenye mapenzi ya kweli lakini wanakuja kuwaumiza . Mimi aliyekuwa mume wangu nilimpenda kwa dhati pamoja na kuwa alikuwa ana maisha ya chini. Tukafunga ndoa tukaishi vizuri tu miaka 3. Mwaka wa 4 akadanyika na mchepuko akawa anachelewa kurudi, mara apotee mwezi anakuambia yuko msata kwenye shughuli zake. Mbaya zaidi akadanganywa na kuniibia gari langu akabadilisha kadi ya gari na kwenda kuiuza mimi sina hata habari maana gari alikuwa anatumia yeye. Vituko vikawa vituko. Wala sikutaka ugomvi na yeye na huyo mwanamke, nikawaita familia pande 2 nikawaambia naondoka naenda kuanza maisha mapya. Nyumba naiacha na gari yangu ndio imeshauzwa hivyo wamenunua gari nyingine. Mungu alienipa mali hizi atanipa nyingine. Nikaenda zangu kupanga na kuanzz upya. Baada ya mimi kuondoka alipangisha nyumba akahamia huko na mchepuko. Baada ya miezi 3 wakagombana vibaya na mchepuko sababu hela zimeisha na michongo ya hela nayo imekata. Sasa hivi yupo tu maisha yamempiga . Sikutaka kurudiana naye tena maana niliona atazidi kuniharibia maisha.
 
Nadhani alikuwa ana fosi upendo kitendo cha kusomesha kisha bibie akusaliti akaolewe na mwingine then apigike huko tena amrudie kwa hakika huyo marehem alipenda kwa dhati bahati mbaya mahali alipo penda Sipo.
Na ndivyo upendo ulivyo siku zote....huwezi kupenda unapopendwa never...

Mapenzi yanatesa, ukitaka uyaweze yapige chini jipende mwenyewe hapo umewin[emoji91][emoji91]
 
Kumbe anamiliki mitumbwi ya dagaa na sangara... Maana mdau mmoja kadai jamaa alikuwa anamiliki Meli daah
 
Bahati mbaya marehemu hayupo tena, pekee ndiye angeliweza kuweka bayana sababu ya kutwangwa risasi...

Sisi wengine acha tuendelee kula ugali, na tuachane na maishu ya kuwekeana vinyongo kwenye mapenzi...
"sisi" na nani jombaaa?? Hiyo ni "wewe" sawa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…