myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee....Hakuwa kapuku ni maneno ya kujifurahisha tu, Swalha kilichomutoa kwa mume wa Kwanza ni kukosa mtoto na siyo umasikini, alafu huyo Said kamuoa akiwa na saluni yake kubwa tu na alikuwa na jina tayari kwa kufanya makeup, huyo Said alipomuoa hakutaka afanye tena hiyo kazi na alitaka wazunguke naye visiwani tu kitu kilichofanya wapambe wa Swalha kumshauri asiache biashara yake na ndo ugomvi wa ndoa yao ulipoanzia maana mwanaume alitaka mke atulie ndani tu au akubali kuzunguka naye visiwani Sasa mke akaanza kudai talaka Ili awe huru na kazi zake na starehe zake.
Wala sikuoa, alikuwa anawajibika kama mume, ila akaja kubadilika kwa kumpata mchepuko.Pole shost but mbona kama wewe ndo ulioa?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848]
Sikia bro!Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.
Sijasema usihonge.
Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Siyo kweli, visingizio tu
Mwanamke mzalishe kwanza afu ndo umujengee ili mukiachana watoto wako waendelee kumiliki mali.Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Pia soma > Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
[emoji849][emoji849][emoji849]Nitaanza kumiliki 'chuma' kabla ya ndoa.
Tupe jina la mbadala wa baharia kwa watu wa ziwani?
Siyo kuua lakiniDawa Yao Iko jikoni. Wanawake waache upuuzi kwa kweli. Tutamaliza mchezo kistaarabu
Dini moja pia [emoji23][emoji23][emoji23]𝚆𝚘𝚝𝚎 𝚗𝚒 𝚄𝚅𝙲𝙲𝙼 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚖𝚣𝚊 [emoji3][emoji3]
Hili ni somo zuri sana kwa vijana wa hapa Jf Wanaokazana Kusema Tutafute pesa kwanza afu mapenz badae. Unakazana kutafuta pesa baada ya kuzipata unaambulia kifo kwa kumpata mwanamke asiekupenda kwa dhatiHabari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Pia soma > Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
Naanza waeelewa wazungu wanaosaini prenup agreementMwanamme mpumbavu sana tena sana, hii story inaweza kuwa kweli au sio kweli tuseme kuwa ni kweli, wewe mwanamme unajuwa kabisa mwanamke hakupendi na labda yeye ndio alisababisha aondoke kwa mumewe wa kwanza sasa kama uliweza kumtoa kwa mumewe wewe umemuumiza mtu na wewe ujuwe utatendewa. Ok unamnunulia nyumba sijui biashara kwanini usiweke masharti katika manunuzi kama mke unajuwa kaja kwa ajili ya pesa hapa mimi namlaumu mwanamme 100% mjinga na hakujipanga.
Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi
Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
Mimi siwezi kuchinja hata Kuku, ndio niweze kumchinja binadamu mwenzangu? Ila nitamnyooshaSiyo kuua lakini
Kwann upoteze maisha
Kwa ajili ya mwanamke wakati
Pisi kali ziko za kumwaga
Ova
Kwani walichukuana juu kwa juu, si kila mmoja alijua changamoto za kazi ya mwenzie? Kwa nini wadaiane TALAKA ndani ya miez mitano Tu huku mwanzo walijuana?Hakuwa kapuku ni maneno ya kujifurahisha tu, Swalha kilichomutoa kwa mume wa Kwanza ni kukosa mtoto na siyo umasikini, alafu huyo Said kamuoa akiwa na saluni yake kubwa tu na alikuwa na jina tayari kwa kufanya makeup, huyo Said alipomuoa hakutaka afanye tena hiyo kazi na alitaka wazunguke naye visiwani tu kitu kilichofanya wapambe wa Swalha kumshauri asiache biashara yake na ndo ugomvi wa ndoa yao ulipoanzia maana mwanaume alitaka mke atulie ndani tu au akubali kuzunguka naye visiwani Sasa mke akaanza kudai talaka Ili awe huru na kazi zake na starehe zake.
Wewe haya nani amekusimulia wakati wahusika wote ni marehemu? Watanzania kwa talarila hamjambo!!Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Pia soma > Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
Ufafanuzi mkuu..Naanza waeelewa wazungu wanaosaini prenup agreement
U can enjoy my money and properties tukiwa wote
Ukifanya viroja tuachane utaondoka km ulivyokuja
Ukiwa tajiri js sign a prenup
Na wosia acha kwa mwanasheria
Mnakubaliana kabla hamjaowanaUfafanuzi mkuu..
Hiyo prenup ndo nini?!