Pre-Nuptial agreementUfafanuzi mkuu..
Hiyo prenup ndo nini?!
🙏🙏Pre-Nuptial agreement
Makubaliano ya kisheria kabla ya kufunga ndoa na mtu kuhusu Mali
A prenuptial agreement, antenuptial agreement, or premarital agreement(commonly referred to as a prenup), is a written contract entered into by a couple prior to marriage or a civil union that enables them to select and control many of the legal rights they acquire upon marrying, and what happens when their marriage eventually ends by death or divorce.
Source:Wikipedia
Njaa izoKwanza yalivyo matamu..[emoji16]
umesema kweli.Hili ni somo zuri sana kwa vijana wa hapa Jf Wanaokazana Kusema Tutafute pesa kwanza afu mapenz badae. Unakazana kutafuta pesa baada ya kuzipata unaambulia kifo kwa kumpata mwanamke asiekupenda kwa dhati
Hawezi pokea simu wakati ameukaliaMissed call 42 si mchezo.....sijui kwa nini huyo manzi hakupokea, wadada punguzeni dharau kwa waume au wapenzi wenu.....na masela punguzeni jazba kwenye mapenzi. Huyo jamaa pamoja na kuwa na mkwanja mrefu alishindwa kabisa kummudu huyo demu kisaikolojia hata kwa kutoka na mbebez mwingine matata......
Hatupigi risasi tunakutatua marinda basiSasa hivi tunaenda kwenye mafunzo muda wote tutavaa bulletproof
ndo hivyo sasa, maji yamezidi unga....Hawezi pokea simu wakati ameukalia
Ndio lugha zao hizo kupiga simu kwa mama zao kuwa ananyongwa huku, mimi mama watoto wangu amekula sana mikanda, makofi na ngumi ila namshukuru Mungu alikuwa mvumilivu na hadi tumezeeka pamoja.Wanawake wasiojielewa wapo wengi tu tuishi nao kwa akili.juzi nilipatwa na hasira nikampa mabao mawili ya nguvu.wana majibu ya ovyo sana .akakimbilia kumpigia simu mamaake kwamba nataka kumuua .mamaake kanipandia hewani eti nataka kumla mwanawe nyama.hakunipa nafasi ya kunisikiliza so simlaumu huyu jamaa.makosa yao yanatufanya tuonekane wabaya kwa jamii
Mtumbwi mmoja unathamani kuliko fuso la mchanga (Mende)Kumbe anamiliki mitumbwi ya dagaa na sangara... Maana mdau mmoja kadai jamaa alikuwa anamiliki Meli daah
dada uliolewa na kamarioo[emoji29][emoji29][emoji29]Wakati mwingine mwanaume anapata mwenye mapenzi ya kweli lakini wanakuja kuwaumiza . Mimi aliyekuwa mume wangu nilimpenda kwa dhati pamoja na kuwa alikuwa ana maisha ya chini. Tukafunga ndoa tukaishi vizuri tu miaka 3. Mwaka wa 4 akadanyika na mchepuko akawa anachelewa kurudi, mara apotee mwezi anakuambia yuko msata kwenye shughuli zake. Mbaya zaidi akadanganywa na kuniibia gari langu akabadilisha kadi ya gari na kwenda kuiuza mimi sina hata habari maana gari alikuwa anatumia yeye. Vituko vikawa vituko. Wala sikutaka ugomvi na yeye na huyo mwanamke, nikawaita familia pande 2 nikawaambia naondoka naenda kuanza maisha mapya. Nyumba naiacha na gari yangu ndio imeshauzwa hivyo wamenunua gari nyingine. Mungu alienipa mali hizi atanipa nyingine. Nikaenda zangu kupanga na kuanzz upya. Baada ya mimi kuondoka alipangisha nyumba akahamia huko na mchepuko. Baada ya miezi 3 wakagombana vibaya na mchepuko sababu hela zimeisha na michongo ya hela nayo imekata. Sasa hivi yupo tu maisha yamempiga . Sikutaka kurudiana naye tena maana niliona atazidi kuniharibia maisha.
ungejichanganya ungeitiwa mwizi,habari yako ya kuchomwa na tyre tungeisoma humu jf[emoji23][emoji23]Kuna demu mmoja pisi kali wa kizenji nlikua naye miaka ya nyuma Zenji kuna siku kaja gheto akaanza kuniletea drama za kunisifia baadae akachomekea mdogo anaumwa kwa hiyo hatokuja atalala naye kwake, machale yaka ncheza kwa zile sifa alizonimwagia, nikaamka mida kama ya 5 usiku nikamnyatia hadi kwake dirishani nikamchungulia nikakuta kavaa night dress na bikini anaangalia bongo star search, akapokea simu ya njemba inakuja inataka ifungiliwe geti izame mi nikabonyea jamaa kaja mpaka mlangoni geti likafunguliwa akazama nikarudi tena dirishani nikamchek jamaa kakaa kitandani anaomba maji aoge dah nikasema huyu kum ..a kumbe ndio mishe zake mapigo ya moyo yalienda mbio nikatamani kuzikunja nondo ni zame ndani.... nikaona nikiondoka bila kumstua kua nimeona kila kitu kesho atakataa nikamwita akaitika nikamwambia nimekuja kumwona mgonjwa akakimbilia getini akaniambia mgonjwa amelala nikamwambia acha ukum..a nimeona kila kuanzia kesho tusitafutane nikasepa..cha ajabu yule mzenji akawa bado analilia anaomba msamaha nikaona sio issue huyu ngoja nimchukulie kama malaya nikaanza kumla tako akazidisha wivu nika wabandua shoga zake wanne lkn wapi haniachi akanipa mln 3.5 ni mnunulie kiwanja ili awe karibu namie hadi leo nikimuhitaji anakuja namfanya matusi anasepa hawa mademu sio kuwa nao serious sana utaua au kujiua bure
nyumba yao tumeiona bana ni zile tulizoziacha makwetu huko tarafani,mtu ambaye yuko vyema kabla dada anashindaje kwa mdogo wake na kushona huko whole day,mdogo mtu pia,shemeji wa kiume pia anazunguka na shemejiye maziwani!!!!Hakuwa kapuku ni maneno ya kujifurahisha tu, Swalha kilichomutoa kwa mume wa Kwanza ni kukosa mtoto na siyo umasikini, alafu huyo Said kamuoa akiwa na saluni yake kubwa tu na alikuwa na jina tayari kwa kufanya makeup, huyo Said alipomuoa hakutaka afanye tena hiyo kazi na alitaka wazunguke naye visiwani tu kitu kilichofanya wapambe wa Swalha kumshauri asiache biashara yake na ndo ugomvi wa ndoa yao ulipoanzia maana mwanaume alitaka mke atulie ndani tu au akubali kuzunguka naye visiwani Sasa mke akaanza kudai talaka Ili awe huru na kazi zake na starehe zake.
Hahaha mazingira hayakua hatarishiungejichanganya ungeitiwa mwizi,habari yako ya kuchomwa na tyre tungeisoma humu jf[emoji23][emoji23]
Sio Mario, tamaa tu za hawa wanaume. Kubwa zima miaka 40 na zaidi. Na alikuwa na kibanda chake ila ndio hivyo alishikwa shati huko nje.dada uliolewa na kamarioo[emoji29][emoji29][emoji29]