Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Ulikula Tigo mkuu green rajab
 
Kwa hiyo mzee unajilia tope kwa raha zako
 

Inadaiwa yote uliyoandika ni dhana 'allegations' , na inasemekana dhana zisizo na supportive claims ni maoni hewa 'unappealing to senses'

Chanzo: Mimi
 
Nina rafiki yangu mnyiramba kwanza wao kwa wao kugongeana wake ni kitu cha kawaida kabisa so wala hata kukuunganishia mke wa mtu kwao kawaida sana
Ulichoongea ni kweli Wana utamaduni wa ajabu sana mtu anajua flan ni mke wa mtu na anaenda kumtongoza
 
Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.

Sijasema usihonge.

Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Anaweza kuwa hajatumia pesa ili ampate bali binti kajipeleka ili azivune na baada ya kuvuna anataka akale mazao na mwingine!! Shaba ihusike tu wasifanye watu kama mashamba yao.
 
Hii inafanana na mtumishi mmoja NBC Moshi lkn yeye alinusurika kifo alipigwa risasi na mume wake then mume nae kijipiga mume akafariki.
Kisa mke hakuwa na mapenzi ya dhati kwa mume wake.
Halafu jamaa ndio alishamsomesha .
Ilitokea mwaka upi
 
Uliolewa na marioo
 
Huyu sasa ndio super woman👍👍👍
 
Hii inafanana na mtumishi mmoja NBC Moshi lkn yeye alinusurika kifo alipigwa risasi na mume wake then mume nae kijipiga mume akafariki.
Kisa mke hakuwa na mapenzi ya dhati kwa mume wake.
Halafu jamaa ndio alishamsomesha .
Mwanaume aijui unakuwa umepewa nini mpaka unaamua kusomesha mrembo...dah uchawi upo
 
Wanawake tunakazi, unamvumilia mwanaume ukiwa hauna kitu mkipata Maisha mnakuwa wengi, mungu anawaona wanaume.
Wakati hna kitu hapo anakuwa hana options maana wale pisi kali hawezi kuwapata...sasa kashapata hela wale pisi kali wanapatikana kirahisi. So bora mwanamke uolewe na njembe yenye hela provided wewe ni pisi kali na tako lipo 🤣🤣🤣🤣
 
Kama ni kweli huyo bibie alikuwa gold digger.
Kilichompata si kizuri lakini ndo matokeo ya huku nataka,....... kula nataka,........ katikati hapakaliki.

Na Je, unasemaje kuhusu Mwamba mwenzetu? Na yeye alichokifanya Kwa marehem na kujifanyia yeye ni stahiki yake?
 
Hili tukio lina nikumbusha tukio kama hiki lilitokea Tnga miaka ya 1990's .. mitaa ya chumbageni pale flats

Mzee mmoja alimpiga shaba mke wake siku ikiwa imepambazukaa
 
Nimegundua kuwa kuna mengi yamejificha katika tukio hili. Hakuna mwenye taarifa za uhakika zaidi ya wahusika wenyewe na hawapo tena.

Yamepita, tumshukuru Mungu kwa neema ya UHAI huu.
 
Hiki kisa kimetoa darasa na mazingatio kwa walio wengi, ila hatupaswi kuhukumu kabla ya kujiridhisha.
 
Tatizo la watu wenye pesa wanafikiri ukiwa na upesa unaweza kununua kila kitu infact
Ukiwa na pesa unaweza kununua mke lakini sio upendo
unaweza kununua kitanda lakini sio usingizi
unaweza ukarithi kila kitu hata kuhamisha mlima lakini huwezi kuridhi ufalme wa mbinguni aupepo
Bwana madevu infact alikuwa mshamba wa penzi alikuwa hapendwi bali pesa yake.
ila RIP wote mungu atawahukumu mwenyewe huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…