Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Tuache uongo
 
Safi sana...endelea kupokea baraka. Hakika wewe ni mwanamke wa kipekee
Asante sana . Kati ya mambo ambayo sipendi ni ugomvi, kugombana na mimi ufanye kazi ya ziada. Hata huyo mchepuko alinipigia kipindi hicho nikamuambia umeshamaliza yote ambayo unataka kuniambia? Maliza kila kitu halafu usinisumbue. Ilitongozwa kama mimi kwa hiyo sitahangaiki na wewe. Umeshajua kama jamaa ana mke ni wewe kusuka au kunyoa. Ila usihangaike na mimi wewe deal na mtu wako. Toka siku hiyo hakunipigia tena. Baada ya muda nikadai talaka BAKWATA, nikaandikiwa barua mahakamani , ndoa ikauvunjwa. Sikutaka malumbano na mtu tena
 
Safi sana...nashangaa wanawake wengine wanenda kuanza ugomvi na mwanamke mwenzie wakati mumeo ndio aliyemtongoza huyo mwanamke.
Wee tulia zako panga maisha yako kama jimbo lipo wazi mie naomba nitume maombi😜
 
Wee mwamba sanaa....
 
😳😳Jamani!
 
Ooh asante mkuu kwa ufafanuzi
 
Kanye huyu huyu ambae anataka kuwa stylist wa Kim kwa ajili ya wivu?

Hivi unamuona Kim kapoa eeh[emoji16][emoji16]
 
Kanye huyu huyu ambae anataka kuwa stylist wa Kim kwa ajili ya wivu?

Hivi unamuona Kim kapoa eeh[emoji16][emoji16]
Kim analia wivu bhana, huoni hata alivyo hana furaha kwa sasa......Kanye hawezi kuwa na wivu kwa sababu anatoka na mibebez matata ambao ni young age kuliko Kim kibibi......
 
Hahahahahaha aseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante ndugu, ila Mungu ni mwema, baada ya miaka 4 Mungu alinipa zaidi ya vile na ninaishi kwa amani. Waliokuwa wakwe zangu mpaka leo tunawasiliana vizuri tu na wananiombea sana baraka .
Je umepata mwanaume mwingine? Mwenye mapenzi ya kweli?
 
Safi sana...nashangaa wanawake wengine wanenda kuanza ugomvi na mwanamke mwenzie wakati mumeo ndio aliyemtongoza huyo mwanamke.
Wee tulia zako panga maisha yako kama jimbo lipo wazi mie naomba nitume maombi[emoji12]
Tatizo una bacteria wale wasiopona eti?

Hahahahaha[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tatizo una bacteria wale wasiopona eti?

Hahahahaha[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Acheni kutunyanyapaa sie wenye hiv...ndio maana mnatufanya tuwaambukize kimakusudi nyie🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kim analia wivu bhana, huoni hata alivyo hana furaha kwa sasa......Kanye hawezi kuwa na wivu kwa sababu anatoka na mibebez matata ambao ni young age kuliko Kim kibibi......
Hahahha Kim ana mbebez na yy bana waiii....hamna kubembelezana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…