Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Hahahaha nimecheka sana...
Ndio ukweli huo nakwambia. Mnatukera sana nyie watu kwa kutunyanyapaa. Dawa yenu moja tuu. Tena uzuri warembo udhaifu wao ndalama tuu. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimekubali wanawake wa makabila ya singida ni mashetani kwenye ndoa "hawafai kabisa"
 
Unaenda kuoa sijui Mnyiramba, Mnyaturu au Mrangi lazima utakuwa mwehu. Kuna siku nilikuwa na dada wa kirangi Dodoma nikaenda nae sokoni. Kuna mzee mmoja nae ni Mrangi akaniita na kuniambia huyo ndio mkeo nikajibu ndio. Akasema kijana achana na mwanamke wa Kirangi. Kumbuka huyo mzee ni mrangi nae.
 
Bullet proof haitolewi kama njugu...

Kiufupi huwezi ipata labda uwe Mtu mashuhuri, mfanyabiashara mkubwa, mwanasiasa mkubwa

Sasa we mtega mikono mwisho wa mwezi bproof hupati.

Ukileta upuuzi magazine 2 za barreta zinaishia mwilini mwako
Owning Beretta Px storm 9mm
 
Ebu waza, revolver kawaida ni risasi 6 , ina maana mume kwa hasira alifyatau bunduki risasi zote , ame reload na kufyatua moja zaidi -right in the head! Said alidhamiria kuuwa kweli.
 
Ebu waza, revolver kawaida ni risasi 6 , ina maana mume kwa hasira alifyatau bunduki risasi zote , ame reload na kufyatua moja zaidi -right in the head! Said alidhamiria kuuwa kweli.
Mi Yangu iko na capacity ya risasi 10. Lkn zipo ambazo hutumia magazine ndefu kidogo nadhani zinaongezeka.

Unazosema ww ni zile za kizamani, hizi za kisasa zinakaa risasi za kutosha tu.
 
Mi Yangu iko na capacity ya risasi 10. Lkn zipo ambazo hutumia magazine ndefu kidogo nadhani zinaongezeka.

Unazosema ww ni zile za kizamani, hizi za kisasa zinakaa risasi za kutosha tu.
Na Wewe una bastola?
 
Mi mrangi namnyaturu natumia tu kama navyokula kitimoto. Siwezi kabisa kuoa labda niwe kaburini
 
Mi Yangu iko na capacity ya risasi 10. Lkn zipo ambazo hutumia magazine ndefu kidogo nadhani zinaongezeka.

Unazosema ww ni zile za kizamani, hizi za kisasa zinakaa risasi za kutosha tu.
Mnatumiaje mabastola ya kizamani hvo? Ni ubahili wa kununua za kisasa ama ni nini?
 
Mnatumiaje mabastola ya kizamani hvo? Ni ubahili wa kununua za kisasa ama ni nini?
Hahaah ya jamaa inatumia ile system ya zamani yaan unawezeka risasi moja moja kwenye rlover ukipress trger inazunguka hivi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Safi sana

Huo ndiyo uamuzi mzuri ulioufanya

Dah mzee ulimla jicho haha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…