Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilimsikia mama yake kama ndoa yenyewe ilikuwa na miezi mitano hivi, sasa huyo Saidi amejenga nyumba tatu na kununua gari mbili katika kipindi hicho kifupi?

Mbona haya mengine ni nyongeza isiyopimika akilini?
 
Nadhani alikua hajui tabia za wanaume wa migodini. Hakujifunza hata kwa Hamza jamani
 
Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.

Sijasema usihonge.

Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Kwaiyo unaisi uyo mwanamke alikua anamwambia uyo said mm sikupend ila kwa sababu unanihonga tu ndio maana nipo na ww ,, mpaka anahoa itakua uyo mwanamke alijifos kupenda ili aongwe vzur je kibinadam unajua ya moyon mwa mtu
 
πš†πš˜πšπšŽ πš—πš’ πš„πš…π™²π™²π™Ό πš™πšŠπš–πš˜πš“πšŠ πš—πšŠ πš‘πšŠπš–πš£πšŠ [emoji3][emoji3]
 
Nilimsikia mama yake kama ndoa yenyewe ilikuwa na miezi mitano hivi, sasa huyo Saidi amejenga nyumba tatu na kununua gari mbili katika kipindi hicho kifupi?

Mbona haya mengine ni nyongeza isiyopimika akilini?
Yawezekana walikaa kwenye uchumba kwanza na jamaa akajenga kipindi cha uchumba ili kukoleza ulimbo kwa bibie anase vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…