Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko upande wa mpiga risasi kwangu mimi jamaa ni shujaa sana yaani kama role model wanguHabari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Kabisa... huyu alikuwa amefunikwa na uvuli wa roho kali sana ya mauti! Wala asilaumiwe; kulikuwa nguvu za mauti za kutisha nyuma yake.
Siye huko juu milimani kulivyo na baridi, hasa miezi hii, Saidi katuaibisha kama wanaume.Kwamba nyanda za juu Kusini akina Andendemseke Mwasakafyuku wanatakiwa wajibu?
Samahani kwa matusi ambayo nimewahi kukutusi. Kumbe una akili!marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
"huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive" in jiwe's voice
this is government
Yaani ufanye kosa alaf uchague hakimu wa kusimamia kesi yako 😳😳😳Nafikiri angeweza kujipeleka polisi akampa kesi hakimu mzoefu na akaachiwa kwa hoja ya 'Temporary insanity'
Wewe huna akili. Ndiyo kashamuua sasa unaamuaje?Maamuzi magumu kwa kujiua..angemuacha huyo mwanamke bila kujali amemfanyia nini hapo angestahili hizo pongezi
[emoji16].... kila missed call 6 malipo yake ni risasi 1! Dah; jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Kumbe unaongeaga duuuh? Numbeeeee![emoji8][emoji8][emoji8]Umesoma comment yangu vizuri au umeamua tu kujipendekeza kwa numby
Blackstreet waliimba "money cant buy me love". Kuna watu wanadhani ukisha kuwa na pesa kila kitu utanunua kitu ambacho si kweli ila ukweli ni kwamba waweza nunua vitu viingi lakini siyo vyoteMoney can't buy love.
Kwa kweli 😁Wacha tujisomeage tu!!😂😂
Mwanafunzi wa Nabii Mwamposa wewe eti?... huyu alikuwa amefunikwa na uvuli wa roho kali sana ya mauti! Wala asilaumiwe; kulikuwa nguvu za mauti za kutisha nyuma yake.
Kwa hyo Singida Wana DramaWanaume wa kanda ya ziwa na misimamo yao VS Wanawake wa Singida na drama zao!
Lazima pangechimbika haya makabila huwezi kuwaweka pamoja km mke na mume
Kwani mtoa mada amesemaje mkuu?Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Dah pole sana mkuu,kama umemuoa kwa nini usiwashirikishe ndugu zake kuhusu hio kadhia?Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi
Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio