Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Habari za ndani kabisa zinasema:

1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa

2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID

3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.

4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.

5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .

CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Niko upande wa mpiga risasi kwangu mimi jamaa ni shujaa sana yaani kama role model wangu
 
Bahati mbaya marehemu hayupo tena, pekee ndiye angeliweza kuweka bayana sababu ya kutwangwa risasi...

Sisi wengine acha tuendelee kula ugali, na tuachane na maishu ya kuwekeana vinyongo kwenye mapenzi...
 
Nafikiri angeweza kujipeleka polisi akampa kesi hakimu mzoefu na akaachiwa kwa hoja ya 'Temporary insanity'
Yaani ufanye kosa alaf uchague hakimu wa kusimamia kesi yako 😳😳😳
Huyu alitakiwa apotelee vichakn huko au avuke boda kesi ingemmalizia pesa zake tu
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi

Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
 
Dah pole sana mkuu,kama umemuoa kwa nini usiwashirikishe ndugu zake kuhusu hio kadhia?
 
Back
Top Bottom