Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Saidi bwege sana.. Unaoaje malaya
 
Yeah
255625303647_status_07a3da6fa5ee4e97b392b6223f67ef7d.jpg
 
Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Yani asingempiga angemchuna ngozi tuu akamuacha
 
Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Inabidi ex naye atafutwe sasa
 
Watajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Hata wao walikuwa wanakula wali maharage unafikiri walipanga tu yawakute!..
Mapenzi yanaheshima yake usipoyaheshimu yatakuheshimisha!
 
Hivi Itakuwaje Tukiwaza kuwa Ex wa Swalha ndo kawaua wote wawili na kwenda kumtupa Said Ziwani?
Shahidi wa kwanza ambaye ni mdogo wa huyo demu anaeleza chumbani alikua dada yake na jamaa alisikia wakigombana ikafuatia milio ya risasi baada ya hapo alimuona shemeji yake akitokomea pasipojulikana huku akiwa ameshika pistol, hiyo scenario yako tungeweza kuiapply endapo mdogo wa demu asingemuona shemeji yake.
 
Watajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Aisee kula tano 🖐

Yaani kama waniona hapa maeneo ya feri nimetamani hiyo menu naipiga kabla ya kurudi nyumbani Kibaigwa.

Huyu mama katia na kachumbari Aka Mohamed Kachumbari au Edi Kachu -Charles Hirary.

Wacha kabisa wali maharage.
 
Nilimsikia mama yake kama ndoa yenyewe ilikuwa na miezi mitano hivi, sasa huyo Saidi amejenga nyumba tatu na kununua gari mbili katika kipindi hicho kifupi?

Mbona haya mengine ni nyongeza isiyopimika akilini?
Pengine alianza kumjengea kabla hajamuoa kumrubuni atoke kwa mme wake ili amchkue yeye jumla jumla
 
Wanawake wasiojielewa wapo wengi tu tuishi nao kwa akili.juzi nilipatwa na hasira nikampa mabao mawili ya nguvu.wana majibu ya ovyo sana .akakimbilia kumpigia simu mamaake kwamba nataka kumuua .mamaake kanipandia hewani eti nataka kumla mwanawe nyama.hakunipa nafasi ya kunisikiliza so simlaumu huyu jamaa.makosa yao yanatufanya tuonekane wabaya kwa jamii
 
Inabidi muachane mapema
 
Back
Top Bottom