Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Feminists wa JF mpo?
Wanaume hatutaki utapeli wenu!
ACTION, TOUGH REACTION.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feminists wa JF mpo?
Wanaume hatutaki utapeli wenu!
ACTION, TOUGH REACTION.
Sas ndo apige risasi7 za kichwa?Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Numbisa kakurupusha kuandika pasipo kusoma mleta uzi kasema nini.Umeandika nini sasa sistaa?
Sasa hivi tunaenda kwenye mafunzo muda wote tutavaa bulletproofChuma yawahusu
Na wali bila maharage ni uhabifu wa mcheleWatajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Umenena vyema mjamaa alitaka kumilki pisi kali afu hana roho ndogo kama ya njiwaMnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Huyo Said ni fala tu, yaani unaua kisa demu nyoko kabisaHabari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Hahhahaaaa, pole sana mkuuWanawake wasiojielewa wapo wengi tu tuishi nao kwa akili.juzi nilipatwa na hasira nikampa mabao mawili ya nguvu.wana majibu ya ovyo sana .akakimbilia kumpigia simu mamaake kwamba nataka kumuua .mamaake kanipandia hewani eti nataka kumla mwanawe nyama.hakunipa nafasi ya kunisikiliza so simlaumu huyu jamaa.makosa yao yanatufanya tuonekane wabaya kwa jamii
Ndo hapo sasa
MhhhHabari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Tatizo alioa danga/Mrangi.Jamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
'We cry together.'
Una maanisha nini sky eclat?Mwenye msiba ni mke mkubwa na watoto.
Kazingua si kidogo.Saidi kazingua, kumbe alikuwa na mke mkubwa na watoto,
Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu,
Sio watajua wenyewe hapo kuna la kujifunza.Watajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Inaonekana alikuwa pisi kali maana nimeona mdogo ake mweupe flani hivi na kizuri sema chura nazani ndo hakuwa nayoMnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale