mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 765
Hii inafanana na mtumishi mmoja NBC Moshi lkn yeye alinusurika kifo alipigwa risasi na mume wake then mume nae kijipiga mume akafariki.Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Kisa mke hakuwa na mapenzi ya dhati kwa mume wake.
Halafu jamaa ndio alishamsomesha .