Sawa sawa mkuu.... kila missed call 6 malipo yake ni risasi 1! Dah; jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa mkuu.... kila missed call 6 malipo yake ni risasi 1! Dah; jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Hii ni kambaNyumba 3 Ndani ya miezi 5!
Kwani mtoa mada amesemaje mkuu?
Hivi ni kweli kafa?Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.
Sijasema usihonge.
Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Nadhani anafuatia Real Madrid,, anayebisha akawaulize PSG , Chelsea, man city na liverkuku aliyeshindwa kujifunza au kujikumbushia ule msemo wa mwenzio tia zako maji akinyolewa!Mkuu william anakuwa wa tatu kwenye hii rank
Money can't buy love.
Jamaa anatokea musoma kumbuka hilo.... kila missed call 6 malipo yake ni risasi 1! Dah; jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Because he did it in the heat of the moment....hakua amepanga hilo , he must have been confused coz alikimbilia ziwani...kulikua na boat? Was he gonna swim? There was no escape planAlikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.
Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.
Jamaa ni muoga na mjinga.
Alishindwa hata kua na escape plan.
Nowhere to run,Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.
Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.
Jamaa ni muoga na mjinga.
Alishindwa hata kua na escape plan.
Nimekosea.Yaani ufanye kosa alaf uchague hakimu wa kusimamia kesi yako 😳😳😳
Huyu alitakiwa apotelee vichakn huko au avuke boda kesi ingemmalizia pesa zake tu
Ha ha ha!marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
"huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive" in jiwe's voice
this is government
Nimemuambia raraa reree kwamba kwa actions zilivyotokea nafikiri angekua na wakili mzoefu angeweza achiwa kwa excuse ya 'temporary insanity'Because he did it in the heat of the moment....hakua amepanga hilo , he must have been confused coz alikimbilia ziwani...kulikua na boat? Was he gonna swim? There was no escape plan
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.
Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.
Jamaa ni muoga na mjinga.
Alishindwa hata kua na escape plan.